Nafasi za jwtz

Ila msije interview na tai, njoo na vyeti na vitie kwenye mfuko wa nilon make bahsha ukikimbia ukaswet vitarowa

Kuongezea tu hapo ni kwamba:
  1. Siku ya siku njoo na mavazi yatakayoruhusu kukimbia easily coz kuna kukimbia sana, sometimes 4 a number of days.
  2. Backpack itakuwa muafaka for certificate storage.
  3. Njoo na maji yako ya kunywa au vijoti. (No body will give you water.)
  4. Prepare 4 maudhi ambayo hujapata kuona coz they will go out of their way kukuboa to test your will.
  5. Prepare to spend the night outdoors with our friends the mosquitoes.
  6. Ukaguzi wa vyeti ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kuburuzana sometimes after a number of days.
Yote haya ni katika kujaribu kuwachuja wale wasio na nia.
 
Wadau mi nasubiria sana,vip kuhusu uhamiaji na magereza mi kitakachojitokeza kwa sasa mi nakula cha karibu,tujulishane maana kitaa ni balaa
 
mwnzng ht nashanga huo mpango ulikufaje, . .mana uli2tiaje presha enzi hyo watoto wa baba

Jamani jamani nchi hii imejaa siasa sa kama we kila k2 unaamini,utajiju!
Sasa hivi wameamua kutafuna hela zetu wakidai wanatafuta Vazi la Taifa,baadae watatafuta Chakula cha Taifa,mara kiatu cha taifa,me nawatizama tu!
 
kuna vijana walichaguliwa wapo depo wengine kama 2000 wapo twallipo wanasubiria hao wafike katikati nao wapelekwe ila kwa professionals wenyewe bado
 
mmmmmmmmh ipo kazi! kila mtu na informer wake na kila informer na taarifa mgando! tuanze harakati za MOHAMMED Boaziz ukanda wa AFRICA mashariki nini maana hali hii sio hata kidogo.
WITHOUT PREJUDICE.
 
mmmmmmmmh ipo kazi! kila mtu na informer wake na kila informer na taarifa mgando! tuanze harakati za MOHAMMED Boaziz ukanda wa AFRICA mashariki nini maana hali hii sio hata kidogo.
WITHOUT PREJUDICE.

Mzeya ni hivi: Mpango mzima ni March 2012. Anza mazoezi kabisa. Formation ni 66. That is Six Months JKT + Six Months TMA.

Over.
 
february ndio hii walisema mwanzoni lakn mpaka sa hv holla....tafuta mradi ufungue tu genge mkuu

  • :lol:
    • :lol:
    • :poa mbwa kala mbwa!!!!!!!!


    • :eyebrows:



 
Ajira kwa kazi gani wanayofanya jwtz!!kazi kula na kulala na kudandia daladala bure!tuna jkt jwtz wanyamapori faya na moto since hawana kazi waje huku uraiani kupiga mzigo
 
hahaha ivi hamjaka tamaa tu..teh teh march iyooo utashangaa 2013 nuthng has happned, mwe..huruma.
 
hahaha ivi hamjaka tamaa tu..teh teh march iyooo utashangaa 2013 nuthng has happned, mwe..huruma.

Kaka recruitment kila mwaka is inevitable bcoz mamia wanastaafu every year which creates a void that needs to be filled with new blood. Recruitment inaweza ikachelewa tu, lakini ipo mwaka huu kama kawa.
 
Kaka recruitment kila mwaka is inevitable bcoz mamia wanastaafu every year which creates a void that needs to be filled with new blood. Recruitment inaweza ikachelewa tu, lakini ipo mwaka huu kama kawa.
Haya Mwaka ushapita leo 2013, je upo Monduli? Naskia cku hzi kuna wireless kabisa pale Library mpya aliyofungua juzi kikwete so JF kama kawa, mwaka jana hola mwaka huu cjui!
Happy New Year
 
Ajira kwa kazi gani
wanayofanya jwtz!!kazi kula na kulala na kudandia daladala bure!tuna jkt
jwtz wanyamapori faya na moto since hawana kazi waje huku uraiani
kupiga mzigo

fara wewe kuwatukana watu wanaokulinda au ulitaka wadandia wewe mburula
 
Back
Top Bottom