Nafasi za jwtz

Nafasi za jwtz

Mzeya ni hivi: Mpango mzima ni March 2012. Anza mazoezi kabisa. Formation ni 66. That is Six Months JKT + Six Months TMA

[
/B]Over.


mkuu nakubaliana na wewe, nimepata taarifa kuna usaili fulani wa JW unaendelea afisa mtoa hiz habar kapangiwa DODOMA,SINGIDa na kesho saa NNE asubuhi wako MOROGORO ila sijajua ni eneo gani!!!!!! ANY updates please!!!!!!!
 
Jaman me naomba mtu yeyote mwenye infor za jkt kwa mwa huu 2013 watakao enda intek ya 2
 
Jaman me naomba mtu yeyote mwenye infor za jkt kwa mwa huu 2013 watakao enda intek ya 2
 
taifa kwanza vitambi baadaye,.,.nafasi za jkt mwakani (2015) mwezi wa ngapi vile maafande?
 
Back
Top Bottom