Nafasi za hostel kwa wanaohitaji Sinza elfu 45 p.m

Nafasi za hostel kwa wanaohitaji Sinza elfu 45 p.m

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
846
Reaction score
1,597
Habar wadau. Mm ni dalal kuna nafasi za hostel Sinza Mori. Chumba ni cha watu 4, kuna meza 2 pana na viti 4. Maji ni chumvi na bomba yanatoka wakati wote, vyoo safi . Mazingira tulivu na salama. Hostel ni kwa jinsia zote. Haulipii maji wala umeme. Kodi ni elf 45 m/nyumba anapokea kuanzia miez 3. Ada ya udalal ni elf 10. Call 0717 424968.
 
Elfu 45 kwa chumba chenye sifa hizo au elfu 45 kwa kichwa meaning 180,000 kwa chumba kwa mwezi (kwa watu wanne) toa maelezo pia kama kwenye hizo location hakuna vitendo vya kihuni kama vilivyoripotiwa huko St. John Dodoma na IFM Kigamboni.. toa details ulinzi ukoje hapo.
 
duh ndo maana yake means 180,000/ kwa chumba mwezi mmoja????????????duh kweli dar akili
 
duh ndo maana yake means 180,000/ kwa chumba mwezi mmoja????????????duh kweli dar akili

bei ni kwa kichwa. Chumba 1 mnaish wa4. Hivyo kwa miezi 3 unalipa 135,000.
 
Elfu 45 kwa chumba chenye sifa hizo au elfu 45 kwa kichwa meaning 180,000 kwa chumba kwa mwezi (kwa watu wanne) toa maelezo pia kama kwenye hizo location hakuna vitendo vya kihuni kama vilivyoripotiwa huko St. John Dodoma na IFM Kigamboni.. toa details ulinzi ukoje hapo.

hapana mkuu ipo hivi chumba 1 mnaish watu 4. Kila mtu analipa kivyake kodi ya elf 45 hivyo jumla 135,000 kwa miezi 3 kwa mtu mmoja mmoja. Huku khs usalama hakuna matatizo kabisa pako open ni sehemu yenye watu na ni mahali salama kabisa. Hakuna wizi hata vijana wanaokaa hapo hawana hulka za wizi.
 
Kwa mnaojua Sinza nafikiri mnaifahamu Sinza hakuna matukio ya uhalifu pia hapa kwenye hostel kna mlinzi pia hapa wana utaratibu wa sungusungu maeneo hayo. Pako safe sana bliv me.
 
Mm ni dalal kuna nafasi za hostel Sinza Mori. Chumba ni cha watu 4, kuna meza 2 pana na viti 4. Maji ni chumvi na bomba yanatoka wakati wote, vyoo safi . Mazingira tulivu na salama. Hostel ni kwa jinsia zote. Haulipii maji wala umeme. Kodi ni elf 45 m/nyumba anapokea kuanzia miez 3. Ada ya udalal ni elf 10. Call 0717 424968.
ya chumvi ya nini?kama ya bomba yanatoka muda wote
 
Kwa hiyo chumba kimoja kwa mwaka ni 2,160,000/= hii nchi sijui tunaelekea wapi. Hivi uchaguzi mkuu ni lini tena?
 
wanafunzi wenye kufanya ujasiriamali wa ngono ndo penyewe hapo maana ni strategic and prime area for the sex business, it is very close to Mlimani City, Mawasiliano House,reputable bars and groceries and many Pedeshee around
 
hapana mkuu ipo hivi chumba 1 mnaish watu 4. Kila mtu analipa kivyake kodi ya elf 45 hivyo jumla 135,000 kwa miezi 3 kwa mtu mmoja mmoja. Huku khs usalama hakuna matatizo kabisa pako open ni sehemu yenye watu na ni mahali salama kabisa. Hakuna wizi hata vijana wanaokaa hapo hawana hulka za wizi.

Acha kurukaruka,mmoja 45 ina maana wa4 ni 180,000 huoni ni UIZI kucharge hiyo hela kwa maji ya chumvi na choo nje?kama mna vyumba vitano tu maanake ni laki 9 kwa mwezi na 10.8 milion kwa mwaka..duuh!!!
 
Hamjaelewa ndugu kwa mtu mmoja ni laki 540.
 
Kwa miezi 12 yote jumla laki 540 kwa mtu mmoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom