Nafasi za hostel kwa wanafunzi

MADAME2017

New Member
Feb 22, 2017
2
0
Mount Everest Ilala Hostel iliyopo Ilala, mtaa wa Lindi inapenda kukutangazia kuwa tuna nafasi za vyumba kwa ajili ya Hostel kwa wanafunzi wanaohitaji. Hostel ina huduam zifuatazo :
  • 24 Hrs standby Generator
  • 24 Hrs security
  • Huduma za usafi
  • Sehemu ya kufulia
  • Huduma za Laundry kwa gharama nafuu
  • Chumba kikubwa cha kusomea
  • Sehemu maalum ya kulia chakula
  • Mgahawa ndani ya Hostel kwa mahitaji ya chakula na vinywaji
  • Free WiFi internet connection
  • Vyumba vyenye vyoo na bafu ndani
  • Meza za kusomea vyumbani
  • Kabati maalum za kuhifadhi vitu vyumbani
  • Feni vyumbani
  • Jengo lipo barabarani
  • Parking ya kutosha
AINA ZA VYUMBA NA BEI :
  1. ROOMS TYPE 1
    - Inachukua jumla ya watu wawili (2) katika chumba kimoja
    - Ina kitanda kimoja (1) Double Decker
    - Bei ni TSH 85,000 kwa mtu mmoja

  2. ROOMS TYPE 2
    - Inachukua jumla ya watu wanne (4) katika chumba kimoja
    - Ina kitanda viwili (2) vya Double Decker
    - Bei ni TSH 75,000 kwa mtu mmoja

  3. ROOMS TYPE 3
    - Inachukua jumla ya watu sita (6) katika chumba kimoja
    - Ina kitanda vitatu (3) vya Double Decker
    - Bei ni TSH 60,000 kwa mtu mmoja
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa :

Mount Everest Ilala Hostel
Mtaa wa Lindi, Ilala
Dar Es Salaam, Tanzania
+255 743 182 874, +255 652 139 188
mounteverestilalahostel@gmail.com

IMAG0022.jpg
 

Attachments

  • IMAG0017.jpg
    IMAG0017.jpg
    58.7 KB · Views: 106
  • IMAG0018_1.jpg
    IMAG0018_1.jpg
    39 KB · Views: 95
  • IMAG0021_1.jpg
    IMAG0021_1.jpg
    134.9 KB · Views: 103
  • IMAG0023.jpg
    IMAG0023.jpg
    35.8 KB · Views: 92
  • IMAG0024.jpg
    IMAG0024.jpg
    132.3 KB · Views: 95
  • IMAG0025.jpg
    IMAG0025.jpg
    89.9 KB · Views: 94
  • IMAG0029.jpg
    IMAG0029.jpg
    53.5 KB · Views: 76
  • IMAG0024 - Copy.jpg
    IMAG0024 - Copy.jpg
    132.3 KB · Views: 97
Back
Top Bottom