FamousinTown
Member
- Aug 15, 2021
- 61
- 37
Dsm vipi wakuu ,lini mkeka unatoka ?
Link zmefungwa, hakuna chochote nafkir kwakua kaz walpew ngaz ya katacheck utoe mrejesho sahv,nataka nijue aisee
Link zmefungwa, hakuna chochote...Nafkir kwakua waliwapa jukum ngaz ya kataHongera sana kwako, jaribu kuingia uone kuna update yoyoye au ujumbe wowote huko
Naomba unitumie majina ya usaili inbox mkuuMkeka wa kinondoni kata ya mwananyamala ukitoka tujuzane wakuu
Mzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisaLink zmefungwa, hakuna chochote...Nafkir kwakua waliwapa jukum ngaz ya kata
HahahKwa mambo yanavyoenda ukipata inabidi ka party kahusike kweli
Majina sina..yalibandikwa ofisi za kata.. kama vipi pita hapo kata ukaya cheki kama bado yapo
Daaah kwahiyo ngoma inaishia katan , hawayarudish tena NBSLink zmefungwa, hakuna chochote...Nafkir kwakua waliwapa jukum ngaz ya kata
Mzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisa
Daaah kwahiyo ngoma inaishia katan , hawayarudish tena NBS
Maana nshapewa taarfa kuhus semina na ukumbi husika pia nkaambiwa kama kutakuw na mabdliko atanchekMzee mbona mimi bado inafunguka vizuri kabisa View attachment 2304358
Nahitaj matokeo kata ya likombe nduguMtwara majina yametoka tokea juzi ila semina tarehe 29.
Mkuu kata gan maana ya mtama kuna mwalimu wangu anakata zote za hyo halmashaurBinafs,, cjafankiwa kuchek Account yang ya NBS lakin jina langu limetoka. Halmashaur ya Mtama- Lindi
Mkuu kata gan maana ya mtama kuna mwalimu wangu anakata zote za hyo halmashaur