Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
ukitaka hayo uanze na kurudisha misaada yote niliyokupa
mimi kama kaka yako nitakusaidia ukiwa na shida but stay mbali na mke wangu....
ma gubu na ushari kwa mke wangu sitaki.....
umesahau kwamba tulikuwa tunasaidiana? Umesahau umeishi kwangu miaka yote kabla hujaanza kujitegemea? Umeoa hutaki ushirikiano. Hakuna noma.