TANZANIA'S COAL SPECIALISTS: Ni kwa masikitiko na uchungu mkubwa kumpoteza Dr Pascal Semkiwa ambae alikuwa Mtanzania pekee mwenye PhD ya Coal Geology.
Tunatafuta vijana 5 wenye Masters kwenda kusoma PhD (coal geology) nchini China kuanzia Sept 2017 (mwakani). Ubalozi wa China umekubali kuungana nasi kwenye kuondoa ombwe hili la utaalamu wa coal. Vijana watume CV zao kupitia baruapepe kwa J Kumburu:
(josephkumb@gmail.com)
S Muhongo, WNM