music producers


  1. sajorsergiosjanic

    Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

    Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi. Je atanufaikaje...
  2. GANGSTARR

    FL STUDIO GANG WhatsApp Group Link.

    FL GANG TANZANIA. Hili ni Group Special kabisa kwa wale watengenezaji wa Instrumentals/ Beat Composers wajuzi (Pro) na wale wanaojifunza (Amatures) Hapa tutakuwa tukishare Skills, Ideas, SoundPacks, na Plugins za Fl Studio ilituweze kusonga mbele kwa pamoja na kuikuza fani hii ya uandaaji wa...
Top