Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,462
- 110,215
Huu ukorofi ssasa broh.
Nyie limeni tu.
Nyie limeni tu.
Na mimi nakuPM kupata huo upendeleo,plsNi PM details zako kama ulituma email
yataka moyo , koromero na maini [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]Laki 1 na 90
Deadline ya kuapply ndio ilikuwa iyo tarehe 19. kama nilimwelewa ndugu Developer alisema kuanzia wiki hii (kesho yaani Jumatatu) atawapigia simu wale watu hamsini ambao atakuwa amewachagua, lakini hakumaanisha kuwa iyo iyo tar 19 ndio itakuwa deadline ya kuwapigia simu. Tuvute subira maana wiki haijaisha bado, uzuri alisema ni 'kulingana na mipangilio ya kazi'. sema simu yangu haina uwezo wa kumquote, ningemquote maelezo aliyoyatoa kipindi anarespond swali la mdau aliyehitaji feedback.
Nami nasubiri kupigiwa simu panapomajaliwa ya mwenyezi Mungu. Ila tukumbuke pia huenda walioomba ni wengi, ivyo bado anapitia maombi ya kila mmoja wetu aliyetuma maombi.
Hakuna umuhimu wowote wa kumwambia huyo finder boy ana haraka wakati yeye ndiye walau alikua anawaelekeza wenye haraka kusubiriMna haraka mno... kazi yenyewe haina haraka kama nyinyi mlivyo na haraka... submission ya hii kazi kwa aliyetupatia ni mwezi wa nane mwishoni... na ni kazi ya siku ishirini tu inakwisha kwa watu 50 wakifanya kwa pamoja... sisi wenyewe bado hatuja panga concrete dates za kuifanya ila tunajua tunalazimika kuisubmit mwisho wa mwezi wa nane...
Mwitikio ni mzuri nimepata emails karibu 200.. na mimi nataka watu 50 tu... nimeshawapigia wachache kukonfirm location au availability... lakini bado hata 10 sijafikisha... kulingana na mambo yalivyo nakosa muda wa kufanya mchana..
na hata hao niliowapigia niliwapigia usiku na sio nzuri hiyo.....
Kwa hiyo msubiri itafika muda nitalazimika kuifanya asubuhi kama kazi ya kwanza na watu watapewa taarifa kama itakiwavyo..
Asanteni..
Mna haraka mno... kazi yenyewe haina haraka kama nyinyi mlivyo na haraka... submission ya hii kazi kwa aliyetupatia ni mwezi wa nane mwishoni... na ni kazi ya siku ishirini tu inakwisha kwa watu 50 wakifanya kwa pamoja... sisi wenyewe bado hatuja panga concrete dates za kuifanya ila tunajua tunalazimika kuisubmit mwisho wa mwezi wa nane...
Mwitikio ni mzuri nimepata emails karibu 200.. na mimi nataka watu 50 tu... nimeshawapigia wachache kukonfirm location au availability... lakini bado hata 10 sijafikisha... kulingana na mambo yalivyo nakosa muda wa kufanya mchana..
na hata hao niliowapigia niliwapigia usiku na sio nzuri hiyo.....
Kwa hiyo msubiri itafika muda nitalazimika kuifanya asubuhi kama kazi ya kwanza na watu watapewa taarifa kama itakiwavyo..
Asanteni..
Mkuu naomba nafasi ya ufundi magari nina level two ya motor vehicle mechanicsMi Nina vijana wangu site, wanalamba 15000 per day na msosi juu hawana hata cheti cha chekechekea iweje hao Wa vyeti uwape 9500!. Acha unyonyaji kwa kisingizio cha uhaba Wa ajira.....
Mi mjenzi kiongozi, kwenye spana huko unanionea mkuuMkuu naomba nafasi ya ufundi magari nina level two ya motor vehicle mechanics
Mkuu bado kunanafasi? Nahitaji na nipo TayarHallow habarini wakuu,
Tuna nafasi 50 za kazi ya muda mfupi kwa vijana. Kazi hii ni ya kupiga chapa (kuprint) documents. Itafanyika kwa siku 20.
Tunahitaji vijana angalau (at least) waliomaliza kidato cha nne na wenye cheti cha kompyuta (certificate of computer applications).
Kama una cheti, stashahada au shahada na hauko engaged na kazi yoyote kwa sasa pia tunakukaribisha.
Malipo ni sh 9500/= kwa siku bila benefit nyingine yoyote.
Sehemu ya kazi ni maili moja kibaha.
Usafiri wa kutoka ubungo mpaka maili moja utatolewa kwa kila siku ya kazi (Kwenda na kurudi).
Tuma maombi tu kama unaishi dar au kibaha.
Andika barua ya maombi pamoja na CV kwa lugha uipendayo, kiswahili au kiingereza.
Kutuma maombi: printingjobvijana50@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni 19/06/2017.
Tuma mapema kwa sababu maombi yatafanyiwa kazi kadri yanavyokuja.
Karibuni.
mkuu nn dogo ni graduate ana shida na kazi aweza kupata kwako please with regards
Mtoa mada tupatie mrejesho tafadhali, na kama kuna mtu(au mdogo wake) ana mrejesho basi ni vizuri atueleze.Mwisho wa kupokea maombi ni 19/06/2017.
Tuma mapema kwa sababu maombi yatafanyiwa kazi kadri yanavyokuja.
Karibuni.