Nafasi 50 za kazi ya muda mfupi

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
291
250
Hallow habarini wakuu,

Tuna nafasi 50 za kazi ya muda mfupi kwa vijana. Kazi hii ni ya kupiga chapa (kuprint) documents. Itafanyika kwa siku 20.

Tunahitaji vijana angalau (at least) waliomaliza kidato cha nne na wenye cheti cha kompyuta (certificate of computer applications).

Kama una cheti, stashahada au shahada na hauko engaged na kazi yoyote kwa sasa pia tunakukaribisha.

Malipo ni sh 9500/= kwa siku bila benefit nyingine yoyote.

Sehemu ya kazi ni maili moja kibaha.

Usafiri wa kutoka ubungo mpaka maili moja utatolewa kwa kila siku ya kazi (Kwenda na kurudi).

Tuma maombi tu kama unaishi dar au kibaha.

Andika barua ya maombi pamoja na CV kwa lugha uipendayo, kiswahili au kiingereza.

Kutuma maombi: printingjobvijana50@gmail.com

Mwisho wa kupokea maombi ni 19/06/2017.

Tuma mapema kwa sababu maombi yatafanyiwa kazi kadri yanavyokuja.

Karibuni.
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,593
2,000
Mi Nina vijana wangu site, wanalamba 15000 per day na msosi juu hawana hata cheti cha chekechekea iweje hao Wa vyeti uwape 9500!. Acha unyonyaji kwa kisingizio cha uhaba Wa ajira.....
Hao vijana uko site wanafanya inshu gani mkuu
 
PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
773
500
Nishatuma, mnikatae nyinyi tu. Maana JF ya miaka ya 2006-2013 ilikua ya tofauti sana. Wimbi la utapeli halikua kubwa kama ilivyo sasa.
Pengine kwakua GT walikuwa wengi sana na hivo aliejaribu kuwapotosha aliumbuka mara moja.
Naamini mkuu Developer hatotuangusha....
 
Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,384
2,000
mdogo wangu ana vyeti vya form six lakini cheti cha computer hana ana uwezo wa huduma za stationeries nkwa haraka atakufaa?
 
Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,384
2,000
Mi Nina vijana wangu site, wanalamba 15000 per day na msosi juu hawana hata cheti cha chekechekea iweje hao Wa vyeti uwape 9500!. Acha unyonyaji kwa kisingizio cha uhaba Wa ajira.....
mkuu nn dogo ni graduate ana shida na kazi aweza kupata kwako please with regards
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Hallow habarini wakuu,

Tuna nafasi 50 za kazi ya muda mfupi kwa vijana. Kazi hii ni ya kupiga chapa (kuprint) documents. Itafanyika kwa siku 20.

Tunahitaji vijana angalau (at least) waliomaliza kidato cha nne na wenye cheti cha kompyuta (certificate of computer applications).

Kama una cheti, stashahada au shahada na hauko engaged na kazi yoyote kwa sasa pia tunakukaribisha.

Malipo ni sh 9500/= kwa siku bila benefit nyingine yoyote.

Sehemu ya kazi ni maili moja kibaha.

Usafiri wa kutoka ubungo mpaka maili moja utatolewa kwa kila siku ya kazi (Kwenda na kurudi).

Tuma maombi tu kama unaishi dar au kibaha.

Andika barua ya maombi pamoja na CV kwa lugha uipendayo, kiswahili au kiingereza.

Kutuma maombi: printingjobvijana50@gmail.com

Tuma mapema kwa sababu maombi yatafanyiwa kazi kadri yanavyokuja.

Karibuni.

Mikoani Hamji?
 
Emojis

Senior Member
Jan 4, 2017
192
250
Kwakwel fursa nying zipogo dar tu kwann lakin mikoan hakuna maofsi nini duuhj
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
8,709
2,000
Tunahitaji vijana angalau (at least) waliomaliza kidato cha nne na wenye cheti cha kompyuta (certificate of computer application). Malipo ni sh 9500/= kwa siku bila benefit nyingine yoyote
Hongera kwa kutoa ajira. Japo sijui bajeti yenu ipoje, ila hako ka amount ni kadogo mnooo. Tena mnataka Four Four + certificate ya computer juu. Najua wengi wapo desperate na wataomba. Hebu wafikirieni kidogo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom