Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,560
Mi Nina vijana wangu site, wanalamba 15000 per day na msosi juu hawana hata cheti cha chekechekea iweje hao Wa vyeti uwape 9500!. Acha unyonyaji kwa kisingizio cha uhaba Wa ajira.....
Unajua niliiangalia hiyo figure nikawa nawaza hii ni 9500 au 95,000 ?
Nikaona labda mishahara ya kibongo. Lakini hapana, hiyo mbona kama hela ya lunch (sehemu ya kueleweka) vile?
Tumefikia pahali watu wanakubali kufanya hizi kazi kwa sababu hawana jinsi tu, lakini bora mtu aseme hatulipi mshahara tunagharamia usafiri na hela ya lunch 9,500.
Lakini si ajabu kuna kazi nyingi zinalipa hivyo.
Siku 20 ni mwezi wa kazi huo, mshahara wa mwezi huo ni 190,000.
Hapo mtu hajala, hajapanda basi mpaka Ubungo.