rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Nahisi kama umekurupuka hivi mkuu.Wadau,
Tunazo nafasi 2 kwa wa Tz wa kuzaliwa.
Hamna vyeti vinavyotakiwa ili mradi uwe na nguvu za kutosha na afya ya kutosha.
1.Kazi ya kwanza ni kuuza Mpesa,kusafirisha mizigo na kupokea mizigo.
Mshahara 90Elfu,nyumba bure,kitanda bure-hii iko Njombe.
2.Kutumwa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 12 na nusu jioni madukani.
Mshahara elfu 90,nyumba bure. Hii ni kazi nzuri kwa sababu utakuwa ukipata posho kutoka kwa jamaa unaonunua kwao vitu kila siku si chini 5elfu.
Tuma ujumbe kwa rakeyescarl@yahoo.ie au hapa.
Kazi zote hizo lazima uwe na wadhamini 3 wa si chini ya milioni 50 au mwenye nyumba,mfanyakazi wa serikali kama polisi etc,kama unahitaji maelezo ya ziada uliza
Wadau,

Duuh...mpaka namuhurumia mtoa mada:embarrassed1:!Fanya mwenyewe ku**mako
hauna ndugu zako kule kijijini kwenu? wapeleke na ukawaajiri, na ikiwezekana walipe hata elfu30, inaudhi sana kumtumikisha mwenzako masaa yote halafu unamlipa elfu90Doooh mpaka matusi nimepata,anyway ndio JF wamo wa aina zote. Naomba nijibu kama ifuatavyo.
1)90,000 Salary-jamani si nimeweka kiwango ambacho kinawezekana kupatikana?Ni bora mtu aibe/aniibie kuliko kum guarantee ambacho sikiwezi.
Kama ninachopata mimi ni 100,000 kwanini nitoe /niahidi nisichokiweza?
2)Walionibeza kuwa house girls wanapata 90,000pm ni wapi huko? wapo watu wako tayari kufanya kwa 45,000 na hawazipati hizo kazi.
3)wadhamini wa 50M ?watu wengi hatujui thamani ya mtu, kwa mfano mtu anayefanya kazi serikalini ,yy kukupa udhamini ni kitambulisho chake tu,kina thamani zaidi ya hy pesa,Elly B naona umenielewa,mimi hapa ilikuwa ni kusaidia ndg zetu,shida ya watanzania wengi ni kujifanya tuko juuuu sisi na ndg zetu wote,hebu jiangalie hata kijijini kwenu au nyumba ya nyumba yako kuna Phd holders wangapi wanawadhulumu hata hy 30K pm ma house girls wao baada ya miaka 2/3 ya kazi?
4)Dunia hii imekuwa mbaya kidogo ndio maana ni bora kwenda kwenda kwenye interview unajua mshahara wako kuliko kwenda usipojua utaanzia kiasi gani?
Naomba mnisome vizuri,nimesema sihitaji vyeti wala qualifications za ajabu,maana yangu ni kuwasaidia watu wa hivi na nina imani katika haya maombi tuliyopata ya zaidi ya 60 mpaka sasa tutaweza kufanya kazi na hao 2. Hii ni kazi ya accord lakini huenda hawa watu wakawazidi wengi kwa kipato wanaobeza hapa baada ya miezi michache,Yes 90K ya uhakika lakini in few month wanaweza kuwa mbali.
Nawashukuru wanaotaka nilipe consultants kwa ushauri,lakini sisi hizi kazi tukizifanya mwisho hawa staff wanaanza za kwao na tuko kwenye huu ulingo miaka 5 wanaotegemea kuwa tutaanguka nina diriki kusema hatuwezi kuanguka kwa sasa tuna uzoefu wa kutosha. AAprt from hiyo 90thou si wanapata na elimu kusudi wafanye ya kwao-nani na ni wapi wanaotoa elimu kama hii bure?
Kama zipo kazi zinazolipa zaidi kuliko kutukana si bora tusaidiane wa TZ wenzangu,kuna watu wanakula ugali kwa baba huu mwaka wa 5 tuwasaidie wasije kuolewa wasipotaka.
wa TZ TUSAIDIANE! NAWASHUKURU WOTE Wanaoendelea kutuma maombi na nayapeleka na kwa watu wengine walioniomba kama watakuwepo wa ziada, AHSANTENI!