Nafasi 2 za kazi-Kama una mdhamini.

Duuh Waheshimiwa sana ,nimekubali ushauri wa bure. Nimewakubalia hata bila kupimwa upstairs kwangu hapako vizuri. Naomba nifunge mada mnisamehe kwa yote,sirudiii tena kujishughulisha na wa Tz haswa kutokea JF kwenye masuala ya kazi mpaka nikiwa na pesa za kuwalipa wao na consulatantspesa ya kutosha,nashukuru SMU ,nimeipata shughuli,mwezi mtukufu huu:tape:
 
]Huyu jamaa Upstairs hayuko vizuri[/SIZE]. Anajifanya kujua na kudharau watu kwa sababu ya vipesa vyake, Ajira ngapi watu wanaajiriwa ku hande millions bila hata kuwa na Senti tano? Nini maana ya kuwa na Controls, Controls ipo kwa ajili ya kusafe Guard Asets za Biashara. Unapokuwa na mzunguko mkubwa wa pesa na unalipa mishahahara midogo si utaibiwa? Kuwa makini kidogo Acha mawazo ya kuexploit watu.
:noidea:
 
Back
Top Bottom