Nafanyaje hapa?

samhillu12

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
95
Reaction score
211
Wakuu salama?

Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.

Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.

Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile (mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.

Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
 
Naisi
🤣🤣🤣 Mbona ata Extrovert nae yumo sana kwenye mambo ya mbususu. Tena kuna jamaa anaibumia kwa kasi National Anthem
Hata ukipita mtaani unaiona mbususu ya manzi ileeee Iko kwenye Dela.

Yaan katika ile dhambi kwamba ukimtazama mwanamke Kwa kumtamani umezini nae, sasa wewe bwana umeenda mbali zaidi ukiona Uzi hata wa siasa tayari unahisi humu mbususu haiwezi kukosa

Hii kitu ni hatari Zaid ya nuclear
 
Wee hao wanasiasa wenyewe wanaume wanasaka hela wale mbususu. Achana kabisa na kile kitobo wacha tufie hapo maana ni tamuu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…