Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf,
Nafanya collection ya stempu za posta na za TRA, stempu hizo nahitaji picha zilizopo kama za ndege, wanyama... nazikusanya kwa ajili ya kumbu kumbu, stempu hizo lazima ziwe za kuanzia miaka ya 1965-1998 isizidi miaka iyo na inaweza ikawa ya kabla ya 1965. ukinipa stempu 3 za miaka tofauti nakupa vocha ya sh 2,000. scan na utume kwenye email cglct@hotmail.com ukishatuma andika sms kwenye namba 0766112752 kuwa umetuma ili niangalie na nikurushie vocha. Karibuni