Nafananisha sana tabia za x wangu ktk mapenzi mapya

Nafananisha sana tabia za x wangu ktk mapenzi mapya

Ni jambo ambalo hutokea sana kwa watu, kwani unakuwa unasahau kila mtu ni tofauti hauwezi fananisha matendo ya aliyepita na uliyenaye. Ili usonge mbele na uliyenaye sahau yaliyofanywa au ulivyokuwa unafanyiwa na x wako. Songa mbele na uliyenaye. Usimlazimishe afanye au afanane na x wako. Each person is unique. Ili uwe na uhusiano thabiti sahau past, songa mbele.
 
Back
Top Bottom