Naenda kupima sasa, majibu nitayaweka hapahapa

Naenda kupima sasa, majibu nitayaweka hapahapa

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Ndg zangu mwenzenu kesho naenda kupima nimeambiwa niwahi foleni asbh, nadhani by saa nne asbh majibu nitakuwa nishayaweka hapa hapa.
 
Unanikumbusha mbaliii.... Bishanga majibu yake ya ngoma sijui aliyapeleka wapi kwani naye alikuja kama wewe!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu tayari nimepima maralia sina kumbe nilikuwa nasumbuliwa na uchovu tu
 
Back
Top Bottom