Livingstone Ayo
Member
- Nov 10, 2017
- 34
- 11
Jamani ndo nataka niende kuji-registrate Mbeya University (MUST) kwa diploma nimechelewa au vipi.. nijibuni jamanii....
Watanipokea kweli??week ya nane hii wenzio washasoma na paper watakua washapiga hivi vitest test watu washaanza kukusanya marks zao za CA .... UMECHELEWA NDUGU
Basi kesho ntaingia.. maana ndo naingia mbeya sahzi..SAIV WANASJILI DEGREE ...NJOO UPATE UHAKIKA
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app