Naenda kuanza diploma pale MUST, ushauri tafadhali

Nov 10, 2017
34
11
Jamani ndo nataka niende kuji-registrate Mbeya University (MUST) kwa diploma nimechelewa au vipi.. nijibuni jamanii....
 
Kwani diploma wamefungua lini? Kama mpaka sasa wiki 3 hazijaisha basi haujachelewa, ila kama ni zaidi ya mwezi hope umechelewa mkuu.
 
week ya nane hii wenzio washasoma na paper watakua washapiga hivi vitest test watu washaanza kukusanya marks zao za CA .... UMECHELEWA NDUGU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom