Naenda kazini mke wangu...

Naenda kazini mke wangu...

geraldincredible

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
2,035
Reaction score
7,236
Kuoa raha

Ppp.PNG
 
Wakat wa mwenda zake huyu angetumbuliwa kwa kusambaza maudhui ya ngono mitandaoni
 
Kwa nini asimpige busu.... home mazagazaga ya kila aina. Gari la kutembelea. Account inasoma tarakimu 8 na senti 90 na kuendelea.... hata angetaka kubebwa hadi mlangoni angebebwaaa.......... Unaondoka home hapaeleweki chai rangi itanywewa saa ngapi hiyo nguvu ya busu itatoka wapi....................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom