naenda hospital!!

Teh namngoja ila hatokei....
Lol hii bahati eeeh??

B52 , aisey kumbe umentendea haki kihivi ?
Welldone! Sikuwepo online kitambo, mwanzo mzuri, hebu tucheze na hii turufu inaweza ikanitoa!
Unaonaje?
 
Hehehehhe jg unawasikia hao wakina b52 haya mi thimooo mchanga wa pwani

Beibe ! Naskitika sikua online kwa muda!
Then sikua najua kama uko Mwz pia, kabla sijamwaga sera kwako, hebu nipe greenlight nikufungukie? Nijilipue kwako ? Au gepu limeshajazwa?
 
Sitaki kuamini kwamba beibe nasty umekwishalala, bali naamini umeshapita hapa, na hii "mineno kusaona!"
unachofanya ni kutafakari !
Pia sitaki kuamini kwamba hutojaza nafasi aliyoiwacha Husninyo!
Niko full hisia utai'cover hili ombwe .
 
Last edited by a moderator:
Beibe ! Naskitika sikua online kwa muda!
Then sikua najua kama uko Mwz pia, kabla sijamwaga sera kwako, hebu nipe greenlight nikufungukie? Nijilipue kwako ? Au gepu limeshajazwa?
Hahaaaa ushachelewa ngoja labda next time lol keshoooo tutakugongea green kijana usijali
 
Hahaaaa ushachelewa ngoja labda next time lol keshoooo tutakugongea green kijana usijali

Shwari, abiria pwani ! Fanza mandingo ya ukweli.
Ikidunda basi ule usemi wa "Mgaaga na wali, hali upwa mkavu" utakua hauna maana!.
 
Sitaki kuamini kwamba beibe nasty umekwishalala, bali naamini umeshapita hapa, na hii "mineno kusaona!"
unachofanya ni kutafakari !
Pia sitaki kuamini kwamba hutojaza nafasi aliyoiwacha Husninyo!
Niko full hisia utai'cover hili ombwe .
Maumivu ya jana after kutolewa jino jg kipendhi kivulii hehhehhe sitaki ugomvi na my husninyo akuuu
 
Last edited by a moderator:
Maumivu ya jana after kutolewa jino jg kipendhi kivulii hehhehhe sitaki ugomvi na my husninyo akuuu

Nadhani uliuona waraka wa Husninyo katika Thrade yake ya ku'resign rasmi Jf , na ni katika waraka huo alitangaza hadharani kuvunja ndoa na Judgement !
Wajifanya hukuiona Sredi hiyo?
Thrade ambayo ilichangiwa na lukuki ya members, hapa jamvi ?
So far usimchukulie Husninyo kuwa kigezo cha kunichinjia baharini.
Wewe kama wanichinja nichinje tu, kivyakovyako! Usisingizie mtu!
Sawasawa ?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani !
Labda!
Kaingia mitini kiaina, huyu ni wa kumsaka kwenye ma'sredi mengine kamata mkono, rudisha hapa kwake!
Haaahahhaahha uwiii nawasikiliza mtu na agent wake mi sina neno namtaka huyo samaki we sema wapii watu hawaapo dakika sifuri.kumbe unanimithigii eeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom