naenda hospital!!

beibe nasty! Wajua mie spendi mzahamzaha ivoo ujue!
Usiniambie na umri huo eti hujui enjection ichomwapo!
Utauniuzi ujue!
Kigugumizi wakitoa wapi ?

Nikwambie jaman judgement sa si nilisahauuu hihihiii haya baaathi usichukie my judgement n nikwambie kilichojiri hospitali leo nusu nikimbie heeheeee
 
Last edited by a moderator:
pole beibe..take your antibiotics vizuri to avoid complications.get well soon!
 
Simpaka antafute kakutana na watoto wa saut wamemchakachua hata kunikumbuka hakutaka loooh huzuni iliojee
Hahahahaaa beibe nasty kule noma aisee lol
Unaweza shangaa we kila siku uko kona ya Nyegezi unakunywa bar za pale wakati unakaa Igoma
Hahahahaaa hilo naamini ndilo limemkuta Judgement
 
Last edited by a moderator:
Kwani lazima awe dr.?si anachukua
Tu prize analilegeza halafu anafunga kamba anaenda umbali wa mita 2 anavuta kitu kinang'oka halafu ganzi unamwekea pilipili likishang'oka anasukutua kwa alovera
Hhahahaaaaa The secretary hivi hujui Judgement ni single kwa sasa?
Hapo anatafuta namna ya kupata mwenza na hasa huyu beibe nasty ukizingatia wako mwanza wote na utaweza kuta wanakaa nyumba moja na wanaviziana sema tu hawajavunja ukimya
Lol yetu macho wacha wapeane matibabu
 
Hehehehhe jg unawasikia hao wakina b52 haya mi thimooo mchanga wa pwani
 
Last edited by a moderator:
Nikwambie jaman judgement sa si nilisahauuu hihihiii haya baaathi usichukie my judgement n nikwambie kilichojiri hospitali leo nusu nikimbie heeheeee

Ndiyo kusema ushang'oa? Kama jibu ndiyo, pole na maumivu.
Kisha utakua umenikwepa nisiling'oe mie, sanjari na kunipa lugha laiynii, zile za kumchinjia mtu baharini !
Kama hujaling'oa changamka kuling'oa.
NOTE : dawa ya jino ni kung'oa, o/wise ni kuchelewesha tu matatizo.
Mie nna uzoefu nishang'oa ma3, mawili niling'olea Muhimbili hayakusumbua sana, la3 nililing'olea Sekouture kama miezi mi4 imepita mziki wake sitousahau mapema, coz mzizi wake ulikua umepinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom