naenda hospital!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
beibe nasty nina mwezi mzima jino linanisumbua sasa leo nimeamua nijiandae niende hospitali mwenzenu.
 
beibe nasty nina mwezi mzima jino linanisumbua sasa leo nimeamua nijiandae niende hospitali mwenzenu.

duh sa litaota lin tena au sababu nilikwambia napenda mwanya umeamua uutengeneze wa lazima.!!?
 
duh sa litaota lin tena au sababu nilikwambia napenda mwanya umeamua uutengeneze wa lazima.!!?
Hahahaaa jaman yan hapa nawaza sindano ya ganzi
Kipenzii dental formular yangu haitaji mwanya
 
Halafu kanishangaza sana aisee
Hivi beibe nasty wakati uko mwanza alikutafuta au alipiga Kimya??

Simpaka antafute kakutana na watoto wa saut wamemchakachua hata kunikumbuka hakutaka loooh huzuni iliojee
 
Last edited by a moderator:
Jg kwani we dr?

Kwani lazima awe dr.?si anachukua
Tu prize analilegeza halafu anafunga kamba anaenda umbali wa mita 2 anavuta kitu kinang'oka halafu ganzi unamwekea pilipili likishang'oka anasukutua kwa alovera
 
Kwani lazima awe dr.?si anachukua
Tu prize analilegeza halafu anafunga kamba anaenda umbali wa mita 2 anavuta kitu kinang'oka halafu ganzi unamwekea pilipili likishang'oka anasukutua kwa alovera

Mmmmmh secretary hunipendiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…