Naenda dar kuanza maisha lengo nipate chumba na frame ya biashara naomba Bei madalali

Nina chumba changu nilipanga mabibo mwisho. Now nimehamia moro kama utapata changamoto ya hapa na pale basi tuwasiliane nikuachie chumba. Nililipa kodi hadi mwezi wa pili mwakani ila hakai mtu. Ntakuachia chumba bure tu kama mchango wangu kwako.
Ulikua unalipa Bei gani kwa mwezi mkuu
 
Nina chumba changu nilipanga mabibo mwisho. Now nimehamia moro kama utapata changamoto ya hapa na pale basi tuwasiliane nikuachie chumba. Nililipa kodi hadi mwezi wa pili mwakani ila hakai mtu. Ntakuachia chumba bure tu kama mchango wangu kwako.
@Kesho kutwa

Kama ndo unakuja kuanza,fikiria huu msaada,unaweza kukusaidia mkuu.
 
Mkuu kuwa makini sana unaweza kutapeliwa kabla ya kufika Dar.ogopa mtu atakaye kwambia uende pm akuelekeze.watu wa mikoani wanalizwa sana hapa Dar sababu ni washamba.

Fanya utaratibu wako mwenyewe.Dar frem ziko nyingi mpaka za 30,000 na rooms hata za elf 20 kwa mwezi..has maeneo ya chanika,pugu, majohe na biashara ndogo ndogo zinaenda sana tu
 
Zipo 50 na kuendelea ila maeneo ndio tatizo za bei nafuu huwa zipo sehemu ngumu kibiashara....sehemu zenye vyumba vizuri bei nafuu labda huko Mbagara unakutana na chumba kizuri tiles silingboad choo cha ndani Kodi 40....ila ni nje ya mji
Kwa vyumba vya kuishi mbagala inaweza ikawa Bei rahisi, lakini kwa vyumba vya biashara hasa mbagala stend Bei ipo juu Sana vipo Hadi vyumba vya biashara vya milioni Moja kwa mwezi, labda mbagala ndani ndani Bei inaweza kua POA ila ukitaka pembezoni mwa Barbara Bei hua iko juu Sana karibia viunga vyote vya dar, chakukushauri nenda katafute frem ya baishara kule miji inapoelekea Kama vile mmbande, chamanzi ,kivule, n.k utapata kwa Bei POA na utafanya biashara vizur tu
 
Mkuu kuwa makini sana unaweza kutapeliwa kabla ya kufika Dar.ogopa mtu atakaye kwambia uende pm akuelekeze.watu wa mikoani wanalizwa sana hapa Dar sababu ni washamba.

Fanya utaratibu wako mwenyewe.Dar frem ziko nyingi mpaka za 30,000 na rooms hata za elf 20 kwa mwezi..has maeneo ya chanika,pugu, majohe na biashara ndogo ndogo zinaenda sana tu
Nashukuru kwa ushauri mkuu ubarikiwe Sana
 
Kwa vyumba vya kuishi mbagala inaweza ikawa Bei rahisi, lakini kwa vyumba vya biashara hasa mbagala stend Bei ipo juu Sana vipo Hadi vyumba vya biashara vya milioni Moja kwa mwezi, labda mbagala ndani ndani Bei inaweza kua POA ila ukitaka pembezoni mwa Barbara Bei hua iko juu Sana karibia viunga vyote vya dar, chakukushauri nenda katafute frem ya baishara kule miji inapoelekea Kama vile mmbande, chamanzi ,kivule, n.k utapata kwa Bei POA na utafanya biashara vizur tu
Nashuruku Sana kiongozi
 
hapo kwenye frame hapo lazima uwe makini sanaa

maana kwa mjini hapo frem zipo kila kona ila je ni location ipi itafaa kwa mujibu wa biashara yako
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu.. Mimi biashara yangu ni duka la mangi
 
Back
Top Bottom