Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
- Thread starter
- #21
Wish u success.
Asante Bleiz..
Wish u success.
Poa uwe unapita hata kusema goodmrng JF....Mwenzio kasema uko kwa mke mdogo, usijari Jf na Mtally daima.
Poa uwe unapita hata kusema goodmrng JF....
Unatoka upande gani na unaelekea wapi???
Nataka nikupatie wa kukupokea
Kumbe safari yako ni fupi....Natoka home Iringa, naenda Mbeya, chuo pale MIST. Mbeya Institute of Science and Technology,
Kumbe safari yako ni fupi....
Dogo nae atakuja huko kesho....ntakuupdate badae
Fupi tu mkuu, vp nae anakuja pale mist?
Yeye anaenda kuanza kazi huko....ngoja akumbane na akina ndaga fijo
Dah hapafai....akija umpeleke carnival kula kuku....lolHahahaaa mbona wako poa tu, ila asiwe anachelewa kurudi home wakati akiwa alone, maana huku damu mtaji(nondo)
Safiri salama na nakutakia masomo mema..
Nikikumic sana nitakupataje?
Dah hapafai....akija umpeleke carnival kula kuku....lol
halafu kisafari chako nikifupi sana hata kwa baiskeli unaenda.Hahahaa kaby, just PM me ntakupata tu.
halafu kisafari chako nikifupi sana hata kwa baiskeli unaenda.
Dogo mi nina mke mmoja tu(mtajwa hapo juu)...
mi sio waruwaru km wewe....
Hujambo?
hahaha unataka uvimbe yote mapaja? Kwa bike labda.
mm si-jambo mkuu wa kazi...ivo mmeoana?
bike ndo kitu gani tena?lol
bike ndo kitu gani tena?lol