ni risk sio list,Samahani Jamani naomba kuuliza eti insurance and list management inapatikana kwenye kozi gani kwa ngazi ya bachelor in degree?
Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaaKwa uandishi huo,nakushauri achana na mambo ya shule.
Hiyo pesa ya ada jaribu kuwekeza kwenye mambo mengine yasiyohusiana na elimu.
Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
Asante mkuuInsurance and risk management, kimbia haraka IFM ukapambane mkuu.
Fanyia kazi suala la uandishi wako, maana una changamoto kiasi kwenye hilo.
Alie kwambia sijui kuandika nakusoma nan hv ww hujawah kukosea kuandika kweny cm emu acha maswala ykoNchi hii inaelekea kusini kwa kasi km ndio hapa tumefika mwanafunzi aliyefaulu kwenda chuo kikuu hajui kusoma na kuandika vzr!
Huu uandishi kwa kweli elimu haipo upande wako, kama una kipaji chochote kipambanie.Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
Sawa nimekuelewa broo haina shida asnte kwa ushuri wako na asnte kwakujua kuaelimu haipo upande wangu mtabili wanguHuu uandishi kwa kweli elimu haipo upande wako, kama una kipaji chochote kipambanie.
Ukishauriwa kuhusu elimu kubali kushaurika. Wengi humu ni wadau wa Elimu
Mimi ni mzee, elimu yangu ya chuo ni ya kipindi cha Mwinyi.Sawa nimekuelewa broo haina shida asnte kwa ushuri wako na asnte kwakujua kuaelimu haipo upande wangu mtabili wangu
Sawa mzeeMimi ni mzee, elimu yangu ya chuo ni ya kipindi cha Mwinyi.
Rekebisha makosa ya uandishi kwa kutokupunguza herufi (kukata maneno), kubadilisha herufi (s≠x, s≠c) na kutokuchanganya herufi "l" na "r","a" na "h"...
Zingatia sana huo ushauri mkuu, usipuuze. Ukiandika ovyo ovyo watu watakujibu ovyo ovyo na hautapata majibu ya yale uliyouliza japo watu wana nondo za kutosha humu.Sawa mzee
Hovyo*ovyo
Aache ngonoUkasome
....unataka uje kufanyia kazi wapi, tuanzie hapo.! usije ukawa unatamani kuja kuwa mkandarasi.Samahani Jamani naomba kuuliza eti insurance and list management inapatikana kwenye kozi gani kwa ngazi ya bachelor in degree?
NakaziaAache ngono
Ni OVYO mkuu sio HOVYO.Hovyo*