Naenda chuo mwaka huu

Kwa uandishi huo,nakushauri achana na mambo ya shule.
Hiyo pesa ya ada jaribu kuwekeza kwenye mambo mengine yasiyohusiana na elimu.
Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
 
Nchi hii inaelekea kusini kwa kasi km ndio hapa tumefika mwanafunzi aliyefaulu kwenda chuo kikuu hajui kusoma na kuandika vzr!
Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
 
Sikia nikwambie nimeuliza tu sawa huenda nikanilikosea kweny kuandika ama laa ila jaribu kua na ushuri wamaana kama umeshindwa we pita tu sio kuaza kushauli ujinga alf nikisha acha shule we utafaidika na nn kama ww uliacha kwa sababu ya kuandika ni peke yako sawa jamaa
Huu uandishi kwa kweli elimu haipo upande wako, kama una kipaji chochote kipambanie.
Ukishauriwa kuhusu elimu kubali kushaurika. Wengi humu ni wadau wa Elimu
 
Sawa nimekuelewa broo haina shida asnte kwa ushuri wako na asnte kwakujua kuaelimu haipo upande wangu mtabili wangu
 
Mimi ni mzee, elimu yangu ya chuo ni ya kipindi cha Mwinyi.
Rekebisha makosa ya uandishi kwa kutokupunguza herufi (kukata maneno), kubadilisha herufi (s≠x, s≠c) na kutokuchanganya herufi "l" na "r","a" na "h"...
 
Back
Top Bottom