Naenda chuo mwaka huu

Naenda chuo mwaka huu

Hivi nyie manaosema niache kusoma kisa nimekosea kuandika ninani Kati yenu hajawahi kukosea kuandika au hata kuchapia kweny kuongea sikieni nakubali uandishi wangu so mzuri sawa Haina shida Ila naona madam imebadilika badala nijibiwe swali nililo uliza Sasa naanza kuambiwa niache shule, we Kama hujaelew nilicho kiandika Hapo juu we pita tu sio lazima ukoment na Kama umeona Kuna makosa na umeelewa kilicho andikwa niambie bwana umekosea Ila sio unishauri niache kusoma na Kama wote wangeacha shule kisa makosa yanayorekebishika sijui ingekuaje
Unapenda elimu ila elimu haikupendi. Achana na chuo banaaa
 
Nenda IFM, wana hiyo course.

Ina vihesabu pia kwahoyo kama unakimbia hesabu basi kile chuo kila course hesabu zimo.

Nenda pale mkuu eidha Dar es salaam ambayo ni main au ile ya Mwanza. Au ingia www.ifm.ac.tz
 
Back
Top Bottom