mkoa wa geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi ajira mpya Halmashauri ya Chato, tunaulizia fedha za kujikimu. Tumechoka kila mara kuandika barua

    Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026. KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni Barua.. Ukweli ni kwamba Barua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waalimu Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita hatujamaliziwa fedha zetu za kujikimu

    Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka jana 2025 wanasema hawajapewa hata kidogo Bila sababu za msingi wakati ukiangalia ni haki ya...
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo adaiwa kutekwa

    Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili. Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Habari wakuu Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi Nime plan kukaa kwa miezi...
  6. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Kama asingetoa TZS20bn za elimu bure watoto wetu zaidi ya 1,317,018,43 wangegeuka machokoraa

    Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya. Mpango wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita awafukuza kikaoni Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Serikali Geita yatenga Bilioni 14 kukarabati na kujenga Stendi Kuu ya Mabasi

    Wakuu, Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho. Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimesema tayari...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Halmashauri za mkoa wa Geita zinawaibia watumishi posho zao kwenye uchaguzi, TAMISEMI fuatilieni

    Wakati baadhi ya Halmashauri zikitenda haki kwa watumishi na kufuata miongozo ya TAMISEMI katika zoezi, tumebaini kuna baadhi ya Halmashauri kazi ya upigaji na kujitajirisha watu wachache kwa kutumia stahiki za 'wanyonge' inafanyika kama vile ni mashindano. Yaani wasimamizi wa uchaguzi wilaya...
  11. NAFIKIRE

    JamiiForums Tanzania Wadau wa uchumi inakuwaje mkoa wa Kilimanjaro unachangia pakubwa kwenye uchumi wa Tanzania kuzidi mkoa wa Geita?

    Wasalaam ndugu zangu, Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa Rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu. Ndugu zangu kilichonishangaza kwenye pongezi hizo ni kujitokeza kwa mkoa wa Kilimanjaro na kuacha...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania KERO Kuunganishiwa umeme kunachukua muda mrefu sana Geita

    Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu. Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka. Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni kutokana na giza ila mpaka nimeona sasa ni kawaida. Uwajibilaji uko wapi? Hizo nguo za toka February...
Back
Top Bottom