Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Acha kbs palikuwa na vumbi...mrembo wangu nikambeba mpaka banda la wanyama....
yani vumbi balaa nakwambia nimebebwa juu juu. My hubby anipenda
Acha kbs palikuwa na vumbi...mrembo wangu nikambeba mpaka banda la wanyama....
jamani asnteni nimeiona me luv u sana mwaaah!!!! nawatakia mapendo ya milele
jamani asnteni nimeiona me luv u sana mwaaah!!!! nawatakia mapendo ya milele
here we r my sis. Dah mwaka huu wetu kabisaaa. Tumeenjoy hasaaa
jamani asnteni nimeiona me luv u sana mwaaah!!!! nawatakia mapendo ya milele
Ahaaa nasubiri kuona talaka laivu
My wf leo umenitokaje kipamba muda huu...
hamna hubby ni mapigo tu haya
Ahaaa nasubiri kuona talaka laivu
Dua za kuku hata siku moja hazifiki kwa kipanga...unachmba mashimo utadumbukia mwenyewe..sisi tumependana..shibaana..
my mwambie mwambiee