Naelekea 88,agizen zawadi.,my arabela twende.,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Asubuh mapema na my wife twaelekea 88...
Na alivyopendeza huyu Mamito mpaka choon namsindikiza...wale wa zawadi,gift agizen kwangu wanaume,wanawake wamwagize wifi yao.
 
Wivu gani wakati mie na Bishanga tupo london kwenye olimpic nyie kwenda hapo Nzuguni kelele nyingi.aibu

Mmeenda kuangalia wanamichezo,waliochanganyikiwa na magorofa...nzuguni pa ukwehe sisi watanganyika halisi...my wife nibusu kidogo...?
 
Nilikuwa naoga mpenzi eeh niambie mmeparty ni aje halafu kuna watu wanaona wivu ni aje mwacheni dada yangu apendwe, ebu shem sogea na sisy niwakumbatie, mbona mwaka huu wenu.... Lol!!!

Acha kbs palikuwa na vumbi...mrembo wangu nikambeba mpaka banda la wanyama....
 
Nilikuwa naoga mpenzi eeh niambie mmeparty ni aje halafu kuna watu wanaona wivu ni aje mwacheni dada yangu apendwe, ebu shem sogea na sisy niwakumbatie, mbona mwaka huu wenu.... Lol!!!

here we r my sis. Dah mwaka huu wetu kabisaaa. Tumeenjoy hasaaa
 
Back
Top Bottom