Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Kwamba kama kwa Mungu kuna mda basi .Mungu ana mwanzo!!
Mara Mungu yawezekana hayupo###Mara hutaki habari ya roho Mtakatifu,,,,unataka watu wajadili free sio??Mbona kama umechanganyikiwa?? Mbona unataka kila mtu awe confused kama wewe?? Mungu sio topic ilioanzishwa na watu.Mungu ni Roho na inakupasa kwenda maili nyingi sana kumuelewa.
 
Kumbe na wewe umegundu ilo kua mtoa mada anajiganyaga kanyaga sana. Ahsante
 
Mkuu kiwango chako cha dishonest kimepindukia katika steep slope ambayo hutaweza kuonekana na busara tena hata kama Ulikuwa umeibakisha kidogo sana sana.Umejitenga na kuingia katika dustbin la watu wachache wenye nafsi zenye kiza kikubwa duniani.
Yesu ni mavi gani wewe?

Ni mtu wa kufikirika!

Unamuamini wewe.....sisi wengine hatumtambui!

Tunajua ni imaginary person..hakuwepo kiukweli!

Sijui hapo huelewi nini?
 
Namuunga mkono mtoa mada. Kwa Mungu hakuna muda ndio mana imeandikwa kwamba yeye anajua ulipotoka na unapokwenda kwasababu kila kitu kinatokea papo kwa hapo in real-time.
Umejuaje kama kwa Mungu hakuna muda ?

Nakuuliza swali,muda ni kiumbe au muda ni nini hasa ?

Je kuna sehemu ambayo hakuna muda ?

Je muda unaweza kusimama na kama unaweza lini utasimama ?

Ili tukio lifanyike lina hitaji nini ? Kwa munasaba wa mada husika.
 
Tukiwa tunaenda kwa mtindo huu..tutakua tunaelewana sana humu...asante zurri
 
Duu somo la astronomy liwe compulsory kwa kweli.
Naona uvivu hata kukuelezea kwasababu kwa maneno yako tu unaonekana wewe ni beginner sana kwenye haya mambo.

Nilikuuliza kama unajua mechanisims za time ukaniambia unajua, lakini hujui. Kuna nyuzi za time ameandika Da Vinci zipitie.

Hapo ndo tutaweza kuendesha meaningful conversation, la sivyo nitakuwa na bishana na mtu ambaye hatulingani intellect.
 

Usiwe na shaka juu ya ufahamu wangu kabisa,wewe siku yoyote ukiwa na nguvu za kujibu utanijibu tu. Nyuzi zake nimezisoma na nimeshauliza na kujenga hoja kwazo sijapata majibu mpaka sasa hivi.

Suala la muda limewapita mbali sana ndio maana hata pa kuanzia kujibu maswali niliyokuuliza unashindwa bali mnashindwa,sababu hata wakubwa zenu katika hili hawajui muda ni nini ?

Lakini usiwe muoga katika hili,wewe jaribu tu kujibu maswali niliyokuuliza kisha uone nini kinafata na wapi mnakosea katika kuuzungumzia muda. Mathalani katika uzi huu ameutolea hoja katika aya 47 katika surat Haaj(22) bila kujua aya ile ilimaanisha nini ? Lakini ukisoma katika surat Sajida(32) : 5 utakuta inasema siku moja ya Allah kama miaka elfu yetu,lakini aya hizi zote zina maana mbili tofauti na ukisoma pia aya ya 4 katika surat Maarij(70) inaongelea siku moja sawa na miaka elfu hamsini ya kwetu. Soma hapa kwanza :

47. Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. (al Hajj : 47)

Na Allah aliye juu akasema tena :

5. Anapitisha mambo yote yalio baina mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi. (al Sajdah : 5)

Na akasema tena Mola wetu mlezi :

4. Malaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu! (al Maa'rij : 4)

Hizo aya nimekupa mfano tu ili utafakari,na hakuna aya yenye kujichanganya moja kwa nyingine.

Ukweli ulivyo suala la muda tu hakuna mwana sayansi mwenye kulijua bali hata umbali wa kutoka ardhini kwenda mbinguni kama mnavyodai hamuujui na ajabu hamjui nini mbingu,vipi mtajua kuhusu muda ?

Nilikuwa najua kabisa hakuna wa kuweza kujibu maswali niliyouliza,ila nikauliza ili mjue upande wa pili kuhusu muda ukoje.

Nipo ....
 
Sasa kwanin uwepo uwezo tofaut Wa kuelewa neno .....ilhali inatakiwa wote tulifate linavyotaka
 
Kama Siku ya duniani ni sawa na Siku buku za mbinguni ,na kama muda mbinguni una kuwa measured with the same principle as on earth then we can roughly approximate with a reasonable precision the location of the so called mbinguni .


Tunauwezo wakujua time on other planets through their elliptical distance from the sun. Inversely kama tunajua time relation ya mbinguni na earth. Then we can know the location of mbinguni

Assumption : mbinguni is a physical place( object like other planets revolving around the sun)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…