Nadharia mbovu kwa jamii mbovu

Nadharia mbovu kwa jamii mbovu

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
2,910
Reaction score
3,024
Si kila jambo, linafaa kuhukumiwa na akili kama ingewezekana kuweka mipaka katika akili, basi lingekuwa jambo la mwanzo katika maisha ya binaadamu
lakini kila mmoja wetu ameachiwa huru katika kutumia akili atakavyo.Mwisho wa siku madhara makubwa yanatapakaa, ilihali akili inashindwa kutatua.

Akili, inasifa ya mapungufu.Hata kama watakusanyika watu wote Duniani wenye uwezo mkubwa wa akili bado mapungufu kwao, yataoneka kwa wazi tu.

Itazame Dunia kwa leo, zile nchi zinazo onekana kuwa zimeendelea kiakili,ndio wa mwanzo kutengeneza silaha kali na kudhamini vita pande zote za Dunia kwa maslahi yasiyodumu.Silaha za maangamivu,wanamtengenezea nani?!
na kwa ajili ya nini?!

Ni maswali yanayotaka majawabu sahihi.

Kwa ufupi;
wanataka kuufuta ulimwengu kwa akili zao na matashi yaliyojaa majuto hapo mbeleni.

Nawatakia siku njema
 
Hapo ndio utambue sasa kuwa tunatofautiana ktk kuchagua priorities.

Miangaiko myema kwako
 
Udogo wa akili na uchache wa maarifa kwa binaadam
unapelekea mambo ya ajabu sana,mambo ambayo,haya mnyama hawezi kufanya
ni jambo ambalo,halijawahi tokea hapo kabla,isipokuwa katika zama hizi zilizoendelea kama wanavyosema wasemaji

Mke anamwambia mume wake wa ndoa,Amechoka na yeye,kwa hiyo,anataka kuwa na mpenzi mwengine
kisha mume anakubali na kuridhia,Mume anakubali kishare na mwanaume mwengine katika kuyaendea matamanio yao

Hasara iliyoje ya Dunia na watu wake walio Duni!!!!
 
Udhaifu wa akili,upo sehemu kuu 3

1)Wepesi wa kutoa majibu/majawabu

2)Tamaa isiyo na kikomo

3)Kuzama katika kicheko
 
Katika dalili juu ya udhaifu wa akili

1)Mtu kujiona na kujisifu kupitiliza
 
Back
Top Bottom