Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

mambo yanayohusu serikali tuyaache maana hao ndo wamiliki wa sheria wanachi ni vivuli tu hawana chochote ni sawa wewe unanguvu asiye na nguvu anataka kushindana na wewe hutomwacha salama

hata makachero hakuna aliyewahi kuishi kwa amani ukitaka kuishi vizuri unakijua cha kufanya kaa kimya acha bwebwe
 
You can not point a confirmatory finger to anybody! Utahisi, lkn huwezi kuwa na irresistible inference kuwa anamsema fulani. Ndiyo maana wametafuta kumpachika madawa. Wangeliweza kupeleka tweet ile mahakamani, wanajua kuwa kuna mapungufu...
Kwahiyo unasuport yeye kutweet post za namna hiyo mtandaoni?ok,hamna ushahidi je uhalisia ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can not point a confirmatory finger to anybody! Utahisi, lkn huwezi kuwa na irresistible inference kuwa anamsema fulani. Ndiyo maana wametafuta kumpachika madawa. Wangeliweza kupeleka tweet ile mahakamani, wanajua kuwa kuna mapungufu...
Uhalisia ni hupi,katukana au hajatukana na uhalisia ni upi hata kama hajataja anayemtukana,ujuaji ndiyo unaowaponza na mtaadhibiwa sana msipojirekebisha,kwani mkimueleza mtu mapungufu yake kwa lugha ya staha kuna shida gani hadi mtumie matusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Pili; Mdude si mtuaji wa pombe wala sigara achilia mbali dawa za kulevya. Jamhuri inaweza kumpima ili kuthibitisha hili. Hanywi hata ‘Serengeti lite’. Mdude ni mwanaharakati ‘sobber’ kuliko wengi wetu tunaofanya harakati. Lakini akishika ‘mic’ sisi ndo hujiona ‘sobber’ kwa jinsi anavyoshusha nondo nzito. Sasa jiulize kama hanywi pombe au havuti sigara, hizo kete za ‘heroine’ alikuwa anazifanyia nini? Kupiga nazo picha aweke instagram?
Huwezi kuelezea maisha ya ndani ya mtu wewe ni MWONGO
 
Yaani kwa kweli serikali ni dola na dola ina mkono mrefu.

Yaani wametuvuruga na tumekubali kuvurugika kiasi hiki.

Huyu nae anakuja na CONCIPARACY THEORY na kuanza kupinga kile chanzo chao kikuu cha habari.
 
Mfanyabiashara wa fedha za kigeni nchini Burundi alitekwa siku mbili zilizopita na maiti yake kuokotwa jana kwenye viunga vya jiji la Bujumbura

Serikali ya nchi hiyo inasema vipimo vinaonesha kafa kwa Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah
Asije kuwa alikuwa anawaunga mkono wapinzani wa chama tawala
Bottom line:Kama huna connections za kukunasua kwenye shida,basi usicheze na Serikali
 
Poleni sana wana harakati na ww, umejitahidi kutetea msela wako ila vingine usinge vijua.

Nauliza kifungo cha kukutwa na madawa ni miaka mingapi vile kwa tz ya JPM?
 
Mleta uzi nimekuelewa sana

Mambo yafuatayo yanaweza yakapelekea mtu ukaingia kwenye misukosuko na serikali

1. Kukosoa bila staha, unaweka mitusi humo, kejeli humo, uongo humo, huwezi vumilika
2. Unaposhauri upumbavu. kutwa wewe unashauri mambo ambayo kwa mjinga anaweza kuona unaongea points, lakini kumbe ni ushauri uliojaa hila na nia ovu
3. Kuchunguza siri za serikali, unajua kuna kipengele viongozi wa umma huwa wanaapa kuwa hawatatoa siri za serikali, maana yake watafanya juu chini siri isitoke, sasa unapobainika kuchunguza kwa nia ya kutoa siri za serikali, iwe kwenye gazeti, tv, redioni, mtandaoni na kwa mtu fulani unajitafutia tabu nzito nzito

Wanaharakati wa mtandaoni wote, asilimia kubwa wanapokosoa wanadondokea kwenye kipengele namba moja, wasipo badilika wataisha, hawawezi bora wachague kuwa invisible kama kigogo. Ila wanapochagua kuikosoa serikali na kupata popularity, wataisha aisee.
Mtawamaliza siyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakim mbona una jazba hivyoo,basi mfunge tu
Acha kuwajaza wenzako ujinga,andika basi na wewe post kama hiyo mtandaoni basi.

Wewe umewahi kuandika post kama hiyo nakuuliza?
Mnakera sana bora mfungwe wote wenye maneno machafu kama hayo mnatuchafulia jamii.

Mnashindwa kutoa hoja zenu au kumkosoa mtu kwa lugha ya staha kwanini hadi mtukane?

Sasa atakuhadithia akitoka huko nani alikuwa anamtukana au nani mwenye madawa ya kulevya kweli,mbuzi huyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwajaza wenzako ujinga,andika basi na wewe post kama hiyo mtandaoni basi.

Wewe umewahi kuandika post kama hiyo nakuuliza?
Mnakera sana bora mfungwe wote wenye maneno machafu kama hayo mnatuchafulia jamii.

Mnashindwa kutoa hoja zenu au kumkosoa mtu kwa lugha ya staha kwanini hadi mtukane?

Sasa atakuhadithia akitoka huko nani alikuwa anamtukana au nani mwenye madawa ya kulevya kweli,mbuzi huyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

He mbona hasira hivyo Mr.Hakimu,unataka kila mtu aandike magazeti humu au?,mmeshashtukiwa mchezo wenu wa kubambikiza vitu,hakuna kesi hapo kama wakili wake atakuwa na maswali mazuri,ndani atakaa lakini hakika kesi ikishaanza kuunguruma mapema tu anashinda kesi.
 
Ukicheza na Dola lazima uishi kama Kunguru

Unajua tangu session hii ya Bunge ianze na Corona kupamba moto Zitto Kabwe hajawahi kutok nje ya Geti lake wala kuhudhuria hata mkutano mmoja wa Bunge?

Amekubali akose posho zote za session hii

Ukisaliti Dola lazima uishi kwa mashaka
Dah
Asije kuwa alikuwa anawaunga mkono wapinzani wa chama tawala
Bottom line:Kama huna connections za kukunasua kwenye shida,basi usicheze na Serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika 100% kwamba Mdude kabambikiziwa madawa ya kulevya na waliokuwa wanamtafuta ila Story ya Kigogo2014 kwamba mdude alipigwa Honey Trap na binti wa ki_iraq nina wasiwasi nayo nipo 50 kwa 50!! Nilidhani kigogo2014 atatupa evidences za mawasiliano ya Mdude na Elizabeth(Gaidi) na jinsi miamala ilivyofanya lakini ametoa tu profile la huyo dada tu na wala hakuna connection yeyote ya mdude na huyo eliza.

Kigogo embu zama chimbo ukamata mawasiliano ya mdude na eliza huko insta au dukua namba ya eliza na mdude utupe screenshots za mawasiliano yao.
 
Back
Top Bottom