Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

Pumbav kweli kweli wewe, Zombe alipoua wale wafanya biashara wa Madini pale Sinza-ukuta wa Posta si mlisema hivi hivi na mkapiga makofi kwamba kaua majambazi kumbe yeye na maaskari wenzake ndio walikuwa majambazi?

Shwain/swine kabisa wewe, hiyo kosa la kubambikizia unasema ashauriwe?
Mshauri Kigwangala na wabunge wa ccm warudishe mali walizoiba na nyumba za serikali walizouza
Sasa mheshimiwa si ukavunje gereza umtoe mbona unanitolea povu Mimi nisiyeweza kumnusuru wala kumuangamiza. Nachosema kama tabahatika kutoka mwambie aache hizo tabia zake mbovu, washindwe kumbambikia mtu ambaye ana impact wambabikie yeye ili wapate nini sasa
 
Jamaa kupenda nyapu mseleleko ndio kumemponza.....unajifanya kutusi taasisi kuu kumbe kichwani ndezi tu.

Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Ni vipi wasimshtaki kwa kosa lake kama alivyokuwa anaandika na sio hili ambalo kuna dalili za kutengenezwa? kweli hana adabu ktk jamii na anastahili kurekebishwa lakini sio kama inavyokuja
Nakubaliana na wewe mkuu
 
😁😁😁Hii ndio Tanzania lafu zinazo chezwa nyuma ya pazia ni nyingi mno
 
Mimi nachojiuliza masikini kama yule kilo 23 za heroine ni mamilioninya shilingi.Angeshaporomosha hata mnjengo wa maana hapo Vwawa.Lakini alikuwa mtu wa kawaida tu.Angeficha hela benki zingeonekana.Au anaficha chini hizo pesa kwenye mahandaki? Mungu ampe wepesi


Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri, alikamatwa na grams, sio kilograms. Kama ungekuwa ni hali ya kawaida kama ni kweli alikutwa nazo, lingekuwa ni utumiaji wa dawa. Lakini kwa mazingira ya awali, tayari ni uhujumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kakamatwa kwa amri kutoka Chato
Umemaliza yote mkuu amri toka
IMG_20200511_224020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki yangu mmoja alipata kuniambia, unaweza kutengenezewa zengwe kiasi kwamba hata wewe mwenyewe ukiliangalia japo unajua 100 % sio kweli, lakini unasema utadhani ni kweli.

Duniani tunapita, natumai haki yake Mdude itasimama upande wake, let us wait and see, mawakili jitahidini kumsaidia kijana
 
Ndugu kama hayajawahi kukuta ni rahc sana kusema hvyo bt yakikukuta utabadilisha kauli kuna kesi moja ilikuwa kama ujinga fulan hv ilivyoanza lkn ilikuja chukua miaka 4.
Na mimi nakujibu kwa Nadharia!!

Nadharia yako 2:

Kutokutumia bidhaa haimaanishi huwezi kuuza bidhaa hiyo. Morocco ni wauzaji wakubwa wa mvinyo pombe lakini hawanywi. Mdude kinadharia alikuwa anauza kama wauza wengine.

Nadharia yako 3

kinadharia waliomkamata walitumia muda mwingi kabla ya kumpeleka mahakamani lengo wahakikishe wanajua mtandao ambao alikuwa anatengeneza wa 'hiyo biashara haramu '.Kazi hiyo kinadharia haiwezi kufanywa siku moja ama masaa michache.

Nadharia yako 4:

Kinadharia unatuaminisha kuwa 'kisiki2014' ambaye alitoa taarifa naye anahusika katika mchezo huu! Kwamba kinadharia ndiye alimuandalia honeytrap na kumuunganisha kwa madrugs lords!?

=====
Acheni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake kwa usahihi. Acha kuvuruga uchunguzi kwa makusudi mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamuwindaje mtu ambaye anapatikana kila siku na inajulikana anaishi wapi?

watumie mbinu hiyo kumuwinda Kigogo2014
 
Nimesoma baadhi ya post zake,daaah haya asingeyakwepa,kukosoa kwa namna ile sijawahi kuona maana lugha anayoitumia hata mzazi wako akisoma atakukana,nawashauri wanaharakati kukosoa si dhambi ni freedom,ila usivuke mipaka na mkumbuke mpo africa
 
ila jeshi la polisi linatia aibu kweli kweli, mbinu walizotumia ni za kizamani kweli kweli!
 
Mleta uzi nimekuelewa sana

Mambo yafuatayo yanaweza yakapelekea mtu ukaingia kwenye misukosuko na serikali

1. Kukosoa bila staha, unaweka mitusi humo, kejeli humo, uongo humo, huwezi vumilika
2. Unaposhauri upumbavu. kutwa wewe unashauri mambo ambayo kwa mjinga anaweza kuona unaongea points, lakini kumbe ni ushauri uliojaa hila na nia ovu
3. Kuchunguza siri za serikali, unajua kuna kipengele viongozi wa umma huwa wanaapa kuwa hawatatoa siri za serikali, maana yake watafanya juu chini siri isitoke, sasa unapobainika kuchunguza kwa nia ya kutoa siri za serikali, iwe kwenye gazeti, tv, redioni, mtandaoni na kwa mtu fulani unajitafutia tabu nzito nzito

Wanaharakati wa mtandaoni wote, asilimia kubwa wanapokosoa wanadondokea kwenye kipengele namba moja, wasipo badilika wataisha, hawawezi bora wachague kuwa invisible kama kigogo. Ila wanapochagua kuikosoa serikali na kupata popularity, wataisha aisee.
hakuna kwa asilimia kubwa duniani aliyewahi kua mwanahalakatiwa hizo mambo akaishi kwa amani
 
Back
Top Bottom