Nadhani sasa kitaeleweka!

Nadhani sasa kitaeleweka!

Zaidi ya mwaka mmoja na nusu uliopita nilianzisha mada hapa kuhusu moja ya takwa langu dhidi ya hii serikali.

Mada yenyewe hii hapa Nataka rais Magufuli ashindwe

Nilisema wazi kabisa kuwa nataka jamaa 'ashindwe'. Siyo 'ashindwe' kwenye kila kitu. Hapana.

Bali 'ashindwe' katika kitu fulani kilicho mahsusi kabisa.

Sasa baada ya JF kupigwa ban ya wiki tatu nadhani sasa mlio wengi mtaelewa nilichokimaanisha kwenye hiyo mada yangu ya tarehe 13, Disemba 2016.

Kwa vile kusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa, kuna watu hawakuelewa kabisa nilichokiandika wakati ule.

Walikuwa wakisoma wanaishia kwenye neno 'ashindwe' na kufikia mahitimisho yanayofurahisha akili zao.

Kuwa eti nimesema nataka 'ashindwe' lakini wanashindwa kuelewa nimesema nataka 'ashindwe' kwenye jambo gani hasa.

Nimeonelea ni vyema kukumbushana tena kulingana na kilichotokea.

Je, bado kuna wanaopenda kuona akifanikiwa kwenye hilo tamanio lake? Nitashangaa sana kama mkiwepo.

Zaidi ya hapo nimefurahi kuona tena JF imerejea hewani.

Na ni matumaini yangu hakutakuwa na uoga. Natumaini tutaendelea kuwa vile vile tulivyokuwa kabla ya 'ban'.

We've made it this far. Twelve years and counting. Now let's go for 20.

Stay woke folks.

Wewe kijana wa Koromije huwa unashabikia udikteta ambao hauna athari kwako tu,
acha ubinafsi,pinga udikteta wote hata kama haukuathiri wewe mbeba box mwenye mandevu machafu.
 
Ngabu huwa simuelewi kigeugeu sana huyu
 
nyani shida yako ni ubinafsi, unasupport kile chenye manufaa kwako na si kwa wote.

" THINK BIG "
 
Kipi kwa mfano chenye manufaa kwangu ambacho nimekiunga mkono na ambacho hakina manufaa kwa wengine?
 
Zaidi ya mwaka mmoja na nusu uliopita nilianzisha mada hapa kuhusu moja ya takwa langu dhidi ya hii serikali.

Mada yenyewe hii hapa Nataka rais Magufuli ashindwe

Nilisema wazi kabisa kuwa nataka jamaa 'ashindwe'. Siyo 'ashindwe' kwenye kila kitu. Hapana.

Bali 'ashindwe' katika kitu fulani kilicho mahsusi kabisa.

Sasa baada ya JF kupigwa ban ya wiki tatu nadhani sasa mlio wengi mtaelewa nilichokimaanisha kwenye hiyo mada yangu ya tarehe 13, Disemba 2016.

Kwa vile kusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa, kuna watu hawakuelewa kabisa nilichokiandika wakati ule.

Walikuwa wakisoma wanaishia kwenye neno 'ashindwe' na kufikia mahitimisho yanayofurahisha akili zao.

Kuwa eti nimesema nataka 'ashindwe' lakini wanashindwa kuelewa nimesema nataka 'ashindwe' kwenye jambo gani hasa.

Nimeonelea ni vyema kukumbushana tena kulingana na kilichotokea.

Je, bado kuna wanaopenda kuona akifanikiwa kwenye hilo tamanio lake? Nitashangaa sana kama mkiwepo.

Zaidi ya hapo nimefurahi kuona tena JF imerejea hewani.

Na ni matumaini yangu hakutakuwa na uoga. Natumaini tutaendelea kuwa vile vile tulivyokuwa kabla ya 'ban'.

We've made it this far. Twelve years and counting. Now let's go for 20.

Stay woke folks.

Ila kweli harakati za POMBE zinagonga mwamba.....mwaka na nusu ushapita hakuna kitu. IMAGINE HATA MALAIKA WANGEIZIMA MITANDAO KIPINDI KILE LEO WANGEIWASHA KUNGEKUWA NA MABADILIKO GANI?????
 
Hawezi kuzuia watu kusema.

Ni kweli kuwa uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza unatoa mwanya mkubwa kwa mambo ya kizushi na kadhalika.

Lakini, dawa yake si kuizima mitandao ya kijamii au kuwazuia watu kutoa maoni yao.
 
hahah.. wewe jamaa bana, misimamo yako ni hatari

Nililiona hili tokea Disemba 2016 na mwezi uliopita likatimia kwa kiasi fulani.

Ila kipindi hicho watu hawakunielewa niliposema nataka rais ashindwe kwenye hiyo azma yake.

Kama wana akili watakuwa washanielewa!
 
kwa sasa kuna idadi ya watu wameelewa ulichomaanisha mkuu na wameelewa baada ya tukio la jf lilitokea nyuma hapo
lakini kuhusu kushindwa kwa raisi M hili lipo njia panda, maana mjamaa ajiulizi mara mara mbili kwenye maamuzi yake. tunataka ashindwe lakini chochote kinaweza tokea
 
Zaidi ya mwaka mmoja na nusu uliopita nilianzisha mada hapa kuhusu moja ya takwa langu dhidi ya hii serikali.

Mada yenyewe hii hapa Nataka rais Magufuli ashindwe

Nilisema wazi kabisa kuwa nataka jamaa 'ashindwe'. Siyo 'ashindwe' kwenye kila kitu. Hapana.

Bali 'ashindwe' katika kitu fulani kilicho mahsusi kabisa.

Sasa baada ya JF kupigwa ban ya wiki tatu nadhani sasa mlio wengi mtaelewa nilichokimaanisha kwenye hiyo mada yangu ya tarehe 13, Disemba 2016.

Kwa vile kusoma na kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa, kuna watu hawakuelewa kabisa nilichokiandika wakati ule.

Walikuwa wakisoma wanaishia kwenye neno 'ashindwe' na kufikia mahitimisho yanayofurahisha akili zao.

Kuwa eti nimesema nataka 'ashindwe' lakini wanashindwa kuelewa nimesema nataka 'ashindwe' kwenye jambo gani hasa.

Nimeonelea ni vyema kukumbushana tena kulingana na kilichotokea.

Je, bado kuna wanaopenda kuona akifanikiwa kwenye hilo tamanio lake? Nitashangaa sana kama mkiwepo.

Zaidi ya hapo nimefurahi kuona tena JF imerejea hewani.

Na ni matumaini yangu hakutakuwa na uoga. Natumaini tutaendelea kuwa vile vile tulivyokuwa kabla ya 'ban'.

We've made it this far. Twelve years and counting. Now let's go for 20.

Stay woke folks.

Kiranga uliiona hii?
 
Sijaiona ndugu yangu.Shukurani. Mimi nafurahi sana ninapoona watu wanajadili mambo kwa kituo na kina badala ya kaulimbiu zilizokosa utashi wa kiu.

Mimi nataka Magufuli asihusishwe na usukuma.

Maana sasa Wasukuma wote tunaonekana ovyo kikabila.

Wakati nikikumbuka wazee wangu kina Nyalali, Bomani na Makwaia na wengine wengi walikuwa na busara za hali ya juu.

Siku hizi hata kujitambulisha Msukuma, yataka moyo.
 
haya bwana, kuna mkurugenzi wa halmashauri ya mbinga dc ameandika barua ya kukabidhi ofisi leo. amerudisha mshahara na kutimka
 
Back
Top Bottom