Lakini si ekisirei inaonyesha ni ugonjwa wa kifua sio kung'atwang'atwa!kumbe mpenzi wake kamuua kweli maskini.inabidi polisi wafanye uchunguzi asije akaua tena mwingine
amefariki kwa matatizo ya kifua mkuu .huna habari?Hee yamekuwa hayo tena
itakuwa alipata infection kwa ndani .vijidudu vilikuwa vinaingia ndani kila sikuLakini si ekisirei inaonyesha ni ugonjwa wa kifua sio kung'atwang'atwa!
mmmh! labdaitakuwa alipata infection kwa ndani .vijidudu vilikuwa vinaingia ndani kila siku
Mmmm!hapana Mkuu Huyu ni Mbongo tena Anakajina Kakubwa Hivi Kwenye Tasnia Ya filamu Hapa Bongo
Jamani mnatutwisha tu mizigo wanawake! kwani kumng'atang'ata ndio apate maradhi ya kifua?! Mungu amempenda Ibra87 basi tumuombee alale mahala pema peponiYule mleta taarifa wa jana Deadbody aliweka ripoti ya daktari inayoonyesa mtoa mada huyubalikuwa anasumbuliwa na Kifua. Na pia kwenye page ya Facebook pia alikuwa anaenda hospital kwa ajili yakifua kumbana.
Kuna namna huyo mwanamke wake achunguzwe.
nafanyaga Sana Kitu Hiyo.. Lakini Anapokuja Kumaliza Huwa Anauliza Ilikuwaje nikawa Huku[/
Umeambiwa ni pepo husikii!! Ngoja siku akunyonye damu ndiyo utaelewa.
Hatunae tena mkuu huyu jamaa, ndo maana unaona RIP kwenye uzi wakeHee yamekuwa hayo tena
Hahahaa..daah mkuu umenfurahsha sanamfunge kamba mdomoni vinginevo siku nyingine atakung'oa korodani