Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Pumzika kwa amani Ibra 87
Pole, tafuta koti zito la suti uwe unavaa ili akikung'ata anaishia kung'ata koti tu!
Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.
Wee naye wenzio wanamuombe apumzike kwa amani wewe tena unaendelea kuchangia uzi wa dada anayemng'ata au huja ona comments za wenzio wawili hapo juu yako?!Pole, tafuta koti zito la suti uwe unavaa ili akikung'ata anaishia kung'ata koti tu!
He is no more, R.I.P mkuu ibra87Cannibalism Hiyoooo....!
Solution Fanya De-beaking (mkate Mdomo).
Inatumika Sana Kwa Kuku Wanaokula Mayai Na Vifaranga.
Mafanikio Mema Mkuu.
Mkuu tafuta namna ya kumdhibit uonapo anakaribia kumaliza,hasa kwa kumbana kichwa na mikono utaondokana na adha hiyo,ni mzuka tu huwa umempanda,hivyo mchukulie kawaidaWasalaam,
Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani ananipenda sana.
Nimeandika nadhani kwa kuwa sipo ndani ya moyo wake lakini kwa vitendo na maneno ni wazi kuwa ananipenda sana. Lakini tatizo lililonifanya nije hapa kwenye jukwaa letu ni juu ya hali inayomtokea mwenzangu tukiwa kwenye tendo.
Mwenzangu kila anapokaribia kukifikia kile cha mlima kilimanjaro basi huning'ata kifuani kwa meno na kunisababishia maumivu makali sana na ikitokea nimemuweka staili tofauti hasa dogstyle basi kama godoro halina foronya basi hujikuta akilitoa vipande vipande kutokana na hali inayomtokeaga.
Lakini kingine kinachonishanga ni hili.Baada ya kumaliza tendo na akaniona natokwa na damu kifuani au akiona chini kuna vipande vya godoro huonyesha kushangazwa na hali pia huniuliza kipi kilichonisibu.Kwa kweli hali hii imenichosha sana na kila ninapojaribu kumwambia ukweli na jinsi anavyoniumiza huwa haamini na kudai kuwa namsingizia.
Je, wanajukwaa wenzangu kunamtu ameshawahi kukutana na hali hii? Je kwa kina dada je nikweli kuna raha za aina hii ambazo husababisha kero kwa watu wenu?
Naomba msaada na ushauri wenu maana mpaka kufikia hapa kifua changu kimejaa makovu kutokana na meno.
acha usiendelee kutenda dhambi ya uasherati, angekua mkeo ningekushauri
Ni zombi huyo sio mtu wa kawaida bana
Hee yamekuwa hayo tenaRIP mleta mada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji23]mfunge kamba mdomoni vinginevo siku nyingine atakung'oa korodani
kumbe mpenzi wake kamuua kweli maskini.inabidi polisi wafanye uchunguzi asije akaua tena mwingineWee naye wenzio wanamuombe apumzike kwa amani wewe tena unaendelea kuchangia uzi wa dada anayemng'ata au huja ona comments za wenzio wawili hapo juu yako?!