Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
- Thread starter
- #21
Cha kujifunza hapa ni kwamba huyu hana taaluma ya Uhandisi wa darasani, tuna wahandisi wangapi nchini wenye weledi wao lakini wameshindwa kuunga unga vifaa vya namna hii??
Kuna magereji mangapi makubwa nchini yameshindwa kuunga unga vifaa??
Wanaojiita wasomi ndiyo wanaishia kukosoa kuwa kaunga unga!! Wao na elimu zao wamebaki kulalama Magufuli anawabania!!
Apewe pongezi zake tuu
To be honest, kungekuwa na venture capitalists wa maana bongo. Uthubutu wa huyu jamaa sio wa kuuacha.
Hiki alichotengeneza hakina tofauti na virikuu vinavyobeba mizogo masokoni.
Kwa kuanzia sio mbaya. Very impressive.
Just out of curiosity, ningenunua gari lake kama angeamua kuliuza.