Yule amegundua pangaboy.ni bora huyu aliyetengeneza gari na anatembelea kuliko yule wa tunduma aliye guchomelea kundege hata hagueleweki utafikiri mashine ya kutotoshelea vifaranga.
Je hilo ni gari la kifahari?Fuatilia huu Uzi pia
Mtanzania atengeneza gari la kifahari
ni bora huyu aliyetengeneza gari na anatembelea kuliko yule wa tunduma aliye guchomelea kundege hata hagueleweki utafikiri mashine ya kutotoshelea vifaranga.
Gundege gule haguna faida yoyote kweli na ni hatari tupu.ni bora huyu aliyetengeneza gari na anatembelea kuliko yule wa tunduma aliye guchomelea kundege hata hagueleweki utafikiri mashine ya kutotoshelea vifaranga.
Kaunganisha vifaa tu . kutengeneza gari c kitoto.. Alaf tz tunapenda kukuza mambo.. Sasa hapo kuna gari ya kifahar?? Au waandish hawajui gar za kifahar?? Kwa bati za hilo gari usiombe akakipiga pasi kiji TOYOTA IST chako, lazima kibaki na matobo kama chujio la nazi. .
Turud kwenye point: hata kama ameunganisha hayo mabati na vifaa pia amejitajid maana hiyo kazi c ndogo.. Kuna vipimo vingi sana amefanya... Sasa je atapewa usajili/plate number au ndo anaishia kusifiwa tu. ? Cjui serikal ina mpango gan na hiki kipaji??? Pia ametufumbua macho kua serikali au wawekezaji wanaweza wakawa wananunua baadh ya vifaa na kuassemble/design magar hapa hapa nchini kwa bei nafuu....
Cha kujifunza hapa ni kwamba huyu hana taaluma ya Uhandisi wa darasani, tuna wahandisi wangapi nchini wenye weledi wao lakini wameshindwa kuunga unga vifaa vya namna hii??Asilimia kubwa sana ya makampuni yanaunganisha vifaa.
60% ya magari mengi ya BMW wananunua vifaa na teknolojia nyingine toka makampuni mengine.
Marcedes Benzi ni moja ya makampuni ambayo 90% ya vifaa vyake wanatengeneza wenyewe. Ndio maana gari zao ni expensive sana.
Kwahiyo hata huyu jamaa kuunganisha vifaa sio kazi ndogo. Ni utaalamu pia.
Ana kadi ya ccm? Kama hana kimekula kwake.Me nadhani hii ni fulsa kwa serikali wakati inaendelea na program ya UCHUMI WA VIWANDA kuwaangalia kwa jicho la pili vijana kama hawa.