Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Who told uNaona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.
Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.
Kwa mawazo ya wenzake hii ndiyo 7bu ya kumteua kwa dhana kwamba atakuwa lulu lake zone.Labda wanamuona kama karata turufu
Mlitaka sauti ya mama iwe na mamlaka, sasa mnalialia niniAnachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
mkuu umesahau kipindi kile Cha komred pole2 ambavyo alikuwa na kipindi pale c10? au unafikri anachokifanya makonda ni kipya? Kwa wakati huu ni sahihi na kimsingi chama kimepata msemaji! swala ni hao walio nyamaza wataenda na mdundo huo? wakishindwa wanayo machaguo 2 tu mkuu..... [emoji38][emoji15]Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Dah huyu Mzee hakumtia jamaa kidole makalioni
NakaziaUkijuaa maana ya lengo kuu la CCM ni kubaki madarakani, hautashangazwa na hayo yanayofanyika.
Mbatanisha na ile aliyobebwa na police.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badoView attachment 2810402
mkuu Kwan hapo umesema ? bado hujasema na kwambia utasema TU...Naona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.
Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.
Kwa uelewa wako nguvu zinapimwa hivyo?Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Kinana na Chongolo wamepigwa na butwaa wamekata kauli!Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Huyu mzee ni nani cheo chake? anaitwa nani mbona anamtazama Makonda kwa jicho kali namna hii?
Ngoja Tusubiri tuone 😅Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Ngumu kumeza ila kwa upepo wa CCM ulivyo kuna siku Makonda atakuwa Rais wa Nchi na ndio mwisho wa CCM utakuwa hapo. Mark ThisMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Sema mijamaa imeshiba aisee! Ona tumbos aisee!
Mambo mawili yamesababisha Makonda kuteuliwa 1- baada ya kufanya utafiti wa jinsi gani Ccm inakubalika kwa wanyonge jibu ni kwamba watu bado wanamkumbuka mwendazake !Nadhani Kinana ali sunction ateuliwe. They are all hopeless guys!
Duuuuuu, mbona huyo mzee alimwangalia bashite vibaya hvo?
Mpasuko wa chini kwa chini upo !Ghafla chongolo kapotea kwenye media.
Hata humu jf watu wanamshangaa !!Huyu wa tatu kutoka kushoto kama anamshangaa vile
Hakika ! Umeona mbali sana !!Ndo wasichokijua.
Na wakijua anabahatisha wamletee jeuri