Fungua kesi mkalipane mahakaman bila hivyo utakuwa chuma ulete. Hao jamaa ni kenge mzee sio mchez0Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Fungua kesi mkalipane mahakaman bila hivyo utakuwa chuma ulete. Hao jamaa ni kenge mzee sio mchez0
Unaweza klipa leo milion 4 baada ya miezi niwili hesabu zitakuja unadaiwa milion 2 na nusu
sahihiDawa ya deni ni kulipa
Pole sana.Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Matapeli hao.Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million.
Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Mbona akina Samia wanafanya biashara ya kuwaua waTanzania; kuna tofauti gani?Sijui mtu wa haki na anayemwogopa Mungu anawezaje kufanya biashara ya riba, ni dhulma halali!