NACTVET mpaka sasa haijatoa selection za first round

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,935
Reaction score
5,527
Sijawahi kuona mifumo mibovu kama ya hawa NACTVET wameweka almanac lakini hio almanac hawaifati kabisa tunahitaji mabadiliko makubwa kwa uongozi wa NACTVET tumechoshwa na kona kona.

Hadi sasa hakuna taarifa yeyote kuhusu watu walioomba kujiunga diploma vyuoni. Kulingana na almanac yao ilitakiwa toka jana wawe wamechapisha list ya wanafunzi hao lakini wapi ukijaribu kuingia kwenye mifumo yao inakutema yaani haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…