DOKEZO NACTVET katibu mtendaji hafanyi kazi, watumishi pia hawafanyi kazi kazi kupiga stori na kuombana rushwa Waziri mwenye dhamana shughulikia hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kodo1

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
52
Reaction score
83
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.

Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi.

Kazi kutupiana mpira.ukiwapigia simu zao hawapokei. kazi kupiga stori za umbea .

Kwanini hawatendei haki nafasi zao
 
Simu za ofisi nyingi za umma ni mapambo
Haki haipo duniani mjukuu wangu
Piga magoti na uombe Mungu aingilie kati milango ifunguke na upate stahiki yako
Funga na kuomba hata kwa siku saba utaona matokeo makubwa
 
tanesco,NHIF wako good kwenye coustomer care, Nilikuwa najiuliza kwanini miradi na viwanda vingi vya serikali vilikufa kutokana ushenzi wanaofanya watumishi wanaokabidhiwa kufanya kazi kama nacte
 
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.

Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi.

Kazi kutupiana mpira.ukiwapigia simu zao hawapokei. kazi kupiga stori za umbea .

Kwanini hawatendei haki nafasi zao
Serikalini kote utendaji now ni kama 35-40%
Watu wanaenda kusign na kusepa, no man's land!

Ccm imeshindwa kazi iliyoomba na inalazimisha kuendelea mtakemsitake!
 
system has palaralysed
 
Chini ya sa100 hakuna kitu kitabaki salama nchi hii, wahuni kila sehemu...afu kuna maqma wanaimba mi5 tena!.
 
tanesco,NHIF wako good kwenye coustomer care, Nilikuwa najiuliza kwanini miradi na viwanda vingi vya serikali vilikufa kutokana ushenzi wanaofanya watumishi wanaokabidhiwa kufanya kazi kama nacte
Pale NaCTEV kuna pesa ya kuokota semina na foreign trips kama zote.
 
Back
Top Bottom