MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli nashindwa kuelewa nacte kazi wanayofanya ukingia kwenye website yao unakuta matangazo ya mwaka Jana ambayo yameisha mda wake kwa wasiyatoe na kuweka update news za mwaka huu ukweli kati ya taasisi ambazo hufanya kazi kwa mazoezi ni nacte inatakiwa kufumliwa kabisa.
Chakusikitisha zaidi nacte walitoa tangazo kuwa tarehe 23/01/2017 watafungua dirisha la kuanza kuapply intake ya mwezi wa April mda umeisha hawajaweka hata guidebook ya vigezo vya kuapply matokeo yake ukiingia kwenye website yao unakuta overdue matangazo hawa watu wanafanya kazi kwa mazoea kwanini waziri wa elimu usifumue nacte ? Au walioajiriwa hapo ni watoto wenu ?