NACTE kwa selection za mwaka huu wamelipua, full kubabaisha

NACTE kwa selection za mwaka huu wamelipua, full kubabaisha

ngoja kesho ntaenda nacte kuwauliza kigezo kilichotumika mkuu koz nipo karibu nao hata rafiki yangu muhanga wakat anasifa kubwa ukilinganisha na vigezo vyao
pia ndugu yangu nae katoswa hali ya kua ana div2 ya 2015 akiwa na B ya bios na mengineyo c alichagua CO
Mpe pole sana lakini inawezekana kachagua course yenyewe competition kubwa na chuo maarafu alafu unakuta idadi ya wanafunzi wanayohitajika ni ndogo sana.
 
vyuo vya serikali vyote vimejaa,,mie hapa nimemaliza kuapply saivi nina one ya point 16 mwaka 2008,,,nimekosa chuo cha serikali nimeamua kuapply HAYDOM nimewapigia simu wanasema ada ni 2m kwa mwaka kila kitu humo na kula na hostel yaani siaamini hata kidogo,,hapa nawaza
mkuu vyuo vya serikali walisema wanawataka watuwaliomaliza 2011 kwenda mbele so umelamba dume shupa
 
Mdogo wangu hajapangwa ualimu na Div 3 ya 25....anaambiwa be patient...just imagine!!!!

What is the meaning of this? Patience for how long!
 
Wakuu samahani kwenye profile yangu nacte kwa upande wa vyuo nilivyoomba, wamenandikia "not eligible" ina maana gan wakuu au ndo nmeshakosa chuo nna GPA 3.8!
 
Kk mm PROFILE yangu wameniandikia eligible dear mwita weit for next selection expected soon mwishoni wameniandikia DO NOTHING nitafanyaje ni edit
 
Wakuu samahani kwenye profile yangu nacte kwa upande wa vyuo nilivyoomba, wamenandikia "not eligible" ina maana gan wakuu au ndo nmeshakosa chuo nna GPA 3.8!
huna vigezo mkuu mim nimeapply ila bado hajanichagua nina div 3 ya 24
 
Watz tunapenda kulazimisha mambo kila kitu siasa sasa ukitaka nani aachwe kama sio mm na ww maana waombaji ni wengi na wanao takiwa ni wachache kwa vyovyote lazima wengine wapate na wengine wakose mi nadhani Nacte wapo safi tu hayo mengine ni matatizo tu ya kibinadamu plus na pressure ya kutumbuliwa basi kila kona watu wanafananya mambo kwa wasisi tuu
 
Back
Top Bottom