SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,656
- 724
huko kwenye eng sijajua....Hadi vya engineering course vimejaa? Mfano ATC
Au ni kwa vile vya health allied science tu
huko kwenye eng sijajua....Hadi vya engineering course vimejaa? Mfano ATC
Au ni kwa vile vya health allied science tu
Me nataka ni apply second round Juma tatu
Nilipata BBB flat masomo yote 2013
Vyuo vya serikal nitakosa clinical medical???
unapozungumzia stiff competition sio kwel
mfano NIT walio apply 36 but total capacity ni 400 ktk kozi husika
mbona mdogo wang kaachwa? na sifa za kutosha anazo?
Mungu awasaidie vijana wetuNACTE wamebabaisha kweli kwa sababu wameshindwa kuweka hata takwimu ya walioapply idadi yao na walioachwa idadi yao na waliochaguliwa pia wametumia sifa gani kuwachagua.
Hii nchi imepoteza mwelekeo kwa upande wa elimu full chenga hata guidebook zao hazina muongozo wa kueleweka. Mfano: Ualimuna kozi ambazo zipo wazi
Fanya ukaulze we ulie karb na Nacte na uje na mrejesho nam nashangaa mjomba wang ana div3 kakosa ualimu wa msingngoja kesho ntaenda nacte kuwauliza kigezo kilichotumika mkuu koz nipo karibu nao hata rafiki yangu muhanga wakat anasifa kubwa ukilinganisha na vigezo vyao
pia ndugu yangu nae katoswa hali ya kua ana div2 ya 2015 akiwa na B ya bios na mengineyo c alichagua CO
waziiii,,,acha bangi
Mzee wakupiga nusu mfululizo mimi, oda ya kurutu hailalii.... Op sayona[emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji2] kumbe na ww wavita
ntaacha serikali ikimaliza kutu hakikiacha bangi
wamekuambiajeLeo nitaenda Nacte,awawezi kumuacha dogo wangu wakati ana vigezo vyote
wamekuambiaje
Si kila MTU aliyefaulu anapenda kwenda f5! Nkuna watu wana malengo tofauti!Kama ndo ulifaulu hivyo, kwanini haukuchaguliwa form 5?? Acha uongo ndo maana kumbe NACTE wamekupiga chini, haiwezekani ukapata BBB then ukashindwa chaguliwa form 5