mandojo
Member
- Jul 2, 2016
- 41
- 5
muwe mna visit web yao Mara kwa mara msiangalie anachopost m2 zen mnakubaliHabaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote.
muwe mna visit web yao Mara kwa mara msiangalie anachopost m2 zen mnakubaliHabaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote.
Mwendo kasi 16 GBHizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani?
Tumia pcNa pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi
Hiyo ni ya mwaka 2015 sio mwaka huu.hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea
Mi nimepata mount meru university ila hyo koz mi sikuiomba jaman nifanyeje[/QUOT
Braza umeangaliaje mi mbona sioni
Tumia pc