NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

Mi nimepata mount meru university ila hyo koz mi sikuiomba jaman nifanyeje
 
Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine?

Mm ninatatizo kama lako nimewatembelea Leo kule ofisini kwao wameniambia kwamba nisibadilishe kitu kwenye profile yangu niache hvyohvyo wanaendelea na selection Leo jioni hadi wiki ijayo
 
Mwenye prospectus ya University of Arusha anitumie,ya kwenye website haifunguki
 
mm wamenichagua teku ndo ipo wapi wajameni?

mbeya hyo bob nimetoka dip pale journalism jpange tu ukakaze wapo very complcated .skutsh weng tuliona kama tunaonewa ila ni advantage ukimalza salama coz changamoto n mahal pake.utawasalimu sana bungeni bt naenda next week kuchukua chet changu
 
mimi nimeangalia profile yangu hakuna k2 kama hcho,na hayo majina kwenye website ya nacte hawajaweka,hv kama k2 ni serious kwanin wasiweke majina?hii thread ina ukwel wowote?
 
mimi nimeangalia profile yangu hakuna k2 kama hcho,na hayo majina kwenye website ya nacte hawajaweka,hv kama k2 ni serious kwanin wasiweke majina?hii thread ina ukwel wowote?
Ni kweli.
 
hi,jamani naombeni mnipe utaratibu wa kuomba chuo kupitia TCU na NECTA kwa form six na wengine pia,thanks
 
Back
Top Bottom