NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

seleboy92

Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
58
Reaction score
1
hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea
 
Sasa ni rasmi kwa wale wa Nacte tayari wameshaachia selection ni vema sasa kuangalia profile yako sasa.
 
Hongera,una haki ya kushangilia sasa!
 
Hongera. kazi kwako sasa kusoma kwa bidii na uichague UKAWA Oktoba Elimu utapata bure.


Usifanye makosa usije ukajutia.
 
"Provisionally selected "
 
mm wamenichagua teku ndo ipo wapi wajameni?
 
Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…